Ushauri wenu muhimu

Ushauri wenu muhimu

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
523
Reaction score
916
Nimetokea kumpenda mdogo wa rafiki yangu kipenzi sana toka tupo wadoncho.

Nimemueleza dogo kuwa nimemzimikia naona dogo dizaini kama ananipotezea.

Naombeni ushauri wenyu nifanyaje hadi dogo anielewe maana imefika kipindi muda wote namuwaza yeye tu ninavompenda.
Nia yangu ni kumuoa kabisa kwaiyo siwezi kumfata kaka yake moja kwa moja, nataka kwanza niongee na mdogo akishakubali ndo nimuelezee jamaa na familia kabisa.

Najua dogo akishakubali kaka hawezi kuniletea kauzibe.

Ila ndo ivyo mkuu dogo ananipotezea sasa mimi nifanye nini? au nimbake?
 
samwaleko. nimetokea kumpenda mdogo wa rafiki yangu kipenzi sana toka tupo wadoncho. nimemueleza dogo kua nimemzimikia naona dogo dizaini kama ananipotezea. naombeni ushauri wenyu nifanyaje adi dogo anielewe mana imefia kipindi muda ote namuaza yeye tu ninavompenda. nia yangu ni kumuwowa kabisa kwaio siezi kumfata kaka ake moja kwa moja, nataka kwanza niongee na mdogo akishakubali ndo nimuelezeb jamaa na familia kabisa. najua dogo akishakubali kaka aezi kuniletea kauzibe. ila ndo ivyo mkuu dogo ananipotezea sa mimi nifanye nini? au nimbake?

mtihani wa taifa darasa la 7 mnafanya lini?
 
Kua kwanza.

Anaogopa ebola hali ni tete kwa sasa,kukitulia mtilie tena timu atakuelewa tu.
Nalog off
 
Au nimbake? Hapo kuna chandoa kweli maana kumbaka na kumuoa wapi na wapi,wewe wataka mgegenda mtoto wawatu.Angalia tu usije ukabakwa wewe na kaka mtu!
 
usimbakee utafia jelaaaaaaaaaaaaaaa, jtahidi kumshawishi na kueleza zamira yako safi kwake naamini atakuelewa tu
 
Back
Top Bottom