Tumsaidiaje kijana mwenzetu kuhusu kumpata msichana mgumu kutongozwa

Bob swagger

Member
Jan 16, 2020
42
54
Juzi alikuja kijana mmoja mbaye tunafahaminiana sana alinikuta nikiwa nimepumzika karibu na ofisi yangu ya kazi alikuja akiwa na huzuni sana.

Nikamuuliza vipi mbona uko hivyo akanijibu kaka mapenzi yananitesa nikamuuliza kivipi akaanza kunisimulia.

Ujue nimetokea kumpenda msichana mmoja tatizo kubwa nililokua nalo kila nikimwita ataki kunijibu na nikimsalimia ajibu yeye yupo kimya 2 nifanyaje ili aweze kunijibu kaka ata salamu yangu .

Haya wazee wa mistali konzi weka ushauri kwa dogo.
 
Anataka kuoa au anataka tu kuweka rekodi ya kudate binti mgumu kutongozwa kisha asepe? Tuanzie hapo kwanza...
 
Tatizo wewe ni domo zege hadi unakuja kusingizia ni jamaa kumbe wewe maana ingekuwa kweli ni Jamaa I wish ungemsaidia wala usingekuja humu kulia lia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom