Ushauri wenu kwa huu mtihani

We Acha tuuh mpaka sasa sijui kitu na simu haipatikani
Achana naye ndugu zake watamfuta hospital Hilo ni jini nyonya dama na Bora. Ujatoa gari lako yani mahusiano ymeanza tu anakuja na majanga ambayo ujui chanzo chake achana naye uyo
 
Achana naye ndugu zake watamfuta hospital Hilo ni jini nyonya dama na Bora. Ujatoa gari lako yani mahusiano ymeanza tu anakuja na majanga ambayo ujui chanzo chake achana naye uyo
Nimekuelewa mkuu
 
Pole sana, navuta hisia hapa naona kama ulikutana na jini hivi?..pole sana jamaa yangu. Huyo mtu achana naye kabisa hana nia nzuri.

Kumbuka "money is for life but life is not for money". Tunaishi mara moja tu Brother.
Acha kabisa.
Yah nikweli kabisa mkuu
 
Ila wanamme mtaacha lini kutuua?uliwezaje kuondoka kwenye tukio Kama Hilo ukamuacha binadamu mwenzio hapo?Tena unaedai unampenda?
Kwanini aruke tuanzie hapo...acheni tabia ya kutujaribu kila Mtu anastress bhana
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…