Ushauri wenu kwa huu mtihani

Dah utanisamehe sana ila nimecheka mno. Kuruka kwenye gar[emoji23][emoji23]
 
Sawa anaweza kutoa but jamaa kasema alikua speed arobain ktk argument zao kwa speed hiyo ni rahisi kusimamisha gar kabla hata hajaruka
Mkuu alikuwa anatishia me naruka mimi nikamjibu kama mwamke kweli ruka nashangaa mtu kafanya kweli, mimi kama mm sikushtuka sana wala nini sikaamua mwenyewe bhana. Nikaskia yowe moja tuuh baada yakuruka

me kwanza mlango ukajifunga nikaendelea nasafari yangu
 
Nimejikuta nimeshtuka ... mbona hiyo nikama kesi BUDA ... yani mtu karuka usiku na hujui yupo katika haligani na inawezekana alijulikana kuwa unaishi naye? Are you serious? Tena haya uliyo andika hapa ni ushahidi tosha ... kuwa makini
 
Nimejikuta nimeshtuka ... mbona hiyo nikama kesi BUDA ... yani mtu karuka usiku na hujui yupo katika haligani na inawezekana alijulikana kuwa unaishi naye? Are you serious? Tena haya uliyo andika hapa ni ushahidi tosha ... kuwa makini
Tayari huyo mwamba ataenda kunyea debe, watu wote pale bar tumemwona na tunamfahamu!πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii mada mi nilitaka kukupa ushauri mzuri, lakini nilivyoona umeingiza neno uchaga katika mada yako, ndo hapo nlipoamua nikupuuze. Tuwe na utaratibu wa kuandika uzi bila kushirikisha au kuchafua makabila yetu, iwe ya ndani au ya nje ya Tanzania. Kitendo alichofanya huyo mwanamk kinaweza kufanywa na mtu wa kabila lolote hapa nchini. Moods huu ni utaratibu wa hovyo unaopaswa kupigwa vita, na ikiwezekana kuachwa kuandikwa hapa jamvini.
 
Makasiriko haya baba ake nimekuskia
 
Sio Ushauli ni Ushauri
Sio Kuluka -Kuruka

Matumizi ya R na L nadhani tungeanzia hapo lakini isiwe kesi nisije shushiwa matusi bure[emoji28][emoji28] , ngoja tusubiri wakupe huo Ushauli
Right and left ni janga la kitaifa.
 
Jifunze kwanza kuandika. KULUKA? USHAULI ? Una elimu gani? Wewe ni mjinga.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…