uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,845
- 38,440
Ingawa nimeteseka na mwanadikio jitahidi wakati mwingine
Kikubwa ni wewe kuomba mtaji umpishe nyumbani ukaandae maisha yako ya hapo baadae
Mtoto kwa mama hakui ,na mzazi hawezi mwangalia mtoto anateseka ashindwe mpatia pesa ikiwa ipo
Atamuu huyo Mama kwa Presha! Hiki ni kitu kigumu sana, Mungu amsaidie dogo!