Ushauri wenu kuhusu huyu ndugu

Ushauri wenu kuhusu huyu ndugu

Baba yenu angekuwa zuzu kama nyie,mngepata wapi mahali pa kujisitili?ondokeni nyumbani mkatafute maisha yenu,hapo ni kwa mama yenu alijenga na baba yenu,kenge nyie.
 
alafu sasa jogoo apandi mtungi lakini yeye kutwa nawanawake
Usimseme hivyo nduguyo rafiki,mapungufu kama hayo unatakiwa kumsitiri nduguyo na ikiwezekana mtafutie tiba. Hamna kitu kinachomuuma mwanaume kama jogoo kutokuwika au mwanamke kuwa tasa. Mapungufu mengine unaweza kumsema hadharani ila lengo siyo kumkomoa bali kutaka suluhu ya matatizo yake. Kumbuka hatufanani katika familia,mtafutie suluhu ndugu yako na uone utakavyo fanikiwa wewe pia kwenye mambo yako.
 
Haya mambo ya familia huwa ni magumu sana.
Binafsi nakushauri tu, uaijiingize kwenye ugomvi wa mama na mwanawe. Na hayo anayo yafanya, jitahidi uaiyaingilie kwasababu wazazi wake ndio wamemuendekeza hivyo. Na kwataarifa yako huyo kaka yako unae mchukia, anapendwa sana na wazazi wake kuliko hata unavyo dhania. Na ndio sababu wazazi wanampatia kila anacho kihitaji hata kama ni kwanguvu.
Na ukitaka kuona kwamba wewe hauna thamani kama huyo unae mchukia na kuona kwamba anawasumbua wazazi, jaribu siku moja umuwekee sumu na hapo ndipo utakapo tambuwa kwamba maharage ni mbegu na sio mboga.

Alafu......
Ulijuaje kama kaka yako jogoo hawiki?
Maana isije ikawa alisha kuonja na sasa umehamishia chuki kwakuwa anatafuna wengine na hata kusababisha umuite kwa jina la zinaa
 
Umejuaje jogoo wa kaka yako hawiki hii sio dalili nzuri kwako pia
Ushauri kama unauwezo hama hapo kwenu kajitegemee kama huwezi basi vumilia
 
Du,poleni sana,haya mambo huwa yapo sana ndan ya familia zote,swali kwako;je wewe unajishughulisha na nn?
 
Ushauri bora sana huu, uchukue wala kuupuzia.
Haya mambo ya familia huwa ni magumu sana.
Binafsi nakushauri tu, uaijiingize kwenye ugomvi wa mama na mwanawe. Na hayo anayo yafanya, jitahidi uaiyaingilie kwasababu wazazi wake ndio wamemuendekeza hivyo. Na kwataarifa yako huyo kaka yako unae mchukia, anapendwa sana na wazazi wake kuliko hata unavyo dhania. Na ndio sababu wazazi wanampatia kila anacho kihitaji hata kama ni kwanguvu.
Na ukitaka kuona kwamba wewe hauna thamani kama huyo unae mchukia na kuona kwamba anawasumbua wazazi, jaribu siku moja umuwekee sumu na hapo ndipo utakapo tambuwa kwamba maharage ni mbegu na sio mboga.

Alafu......
Ulijuaje kama kaka yako jogoo hawiki?
Maana isije ikawa alisha kuonja na sasa umehamishia chuki kwakuwa anatafuna wengine na hata kusababisha umuite kwa jina la zinaa
 
Duh! Poleni sana.

Kiini cha Kosa hapo ni LA wazazi wenu. Kumbuka ya kwamba "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"

Wazazi wako wamelikoroga KWA hiyo lazima alinywe, hususani huyo mama yako aliyebaki hai.

Pili, sijajua kama wewe ni ME au KE??jinsia yako.

KWA nini mtoto wa umri wa miaka 32 awe bado anaishi nyumbani KWA wazazi?? Haoni aibu??
Hakika, wazazi wako wamefanya mistakes mbaya sana,

Kitu cha msingi
1.Jitahidi kufanya mpango wa kuhama kutoka hapo kwenye nyumba ya familia yenu, ukajitegemee
Ndugu yako naye pia shame, mshauri mama yenu amhamishe huyo ndugu yenu.
2.Watu WA namna hii huwa wanapenda sana kugombea Urithi wa mali pale wazazi wanapofariki dunia.Chukueni tahadhari kubwa sana ili asije akawahi kuwaueni ili abaki mrithi peke yake,
Mtahadharisheni pia mama yenu kuhusu hili, atauawa KWA kuchelewesha urithi WA Mali.
Mifano hai ktk hili IPO mingi sana tayari ilishatokea

3.Mshaurini mama yenu aandike WOSIA WA kugawa Mali ktk kiwango sawa kwenu, hapo siyo jambo jema sana kwake lakini itasaidia kuwapunguzieni migogoro nyinyi watoto.
mkuu mama nishaongea naye sana, kwakuwa mama hana elimu na pia mawazo yake nifinyu sana ata nasema hajielewi kakosa maalifa ukiongea unaonekana mbaya sasa nmeamua nimuache tu ahangaishwe hadi akome mwenyewe,
mtot wamiaka 32 anaingia adi chumbani kwamama yake anaiba hela anauza ndani vitu ambavyo hakuvinunua yeye , alipo hana kikombe wala kijiko yani yupo yupo tu. napia alipewa akae chumba cha nje kannuliwa kitanda godolo kakaa wiki chache kauza kitanda nagodolo chumba pia kampangisha mtu na hizo pesa zote kanywea pombe
 
WAKUU MBONA SIPATI USHAULI WOWOTE
Duh..!

Unataka uambiweje Mkuu..!!?

Mna roho kali ya chuki.. Ikemeeni kwanza..mtakuja uana.

Unamsema mwenzio kumbe nawe una chuki kali zaidu...

Jogoo kutopanda mtungi.. Wewe hii kwako ni furaha.

Mna shida wote.
 
Lord... !!

Em soma tena ulichoandika. Nafikiri wewe ni MPUMBAVU kuliko wote hapo kwenu....
 
Duh..!

Unataka uambiweje Mkuu..!!?

Mna roho kali ya chuki.. Ikemeeni kwanza..mtakuja uana.

Unamsema mwenzio kumbe nawe una chuki kali zaidu...

Jogoo kutopanda mtungi.. Wewe hii kwako ni furaha.

Mna shida wote.

Kumbuka ya kwamba familia hiyo INA matatizo makubwa NA mazito ya malezi.

Pili, huyo dogo bado mdogo sana KWA umri, miaka 20 tu, bado anahitaji usimamixi mkubwa WA kuelekezwa kutoka KWA wazazi NA walezi wake kuhusu maisha yake. AKILI yake bado haijakomaa kiwango cha kutosha sawasawa.

Vile vile, kupewa hela ndogo ndogo za matumizi NA mzazi/mlezi wake pia ni haki yake KWA sasa kutokana na hali yake ya utegemezi/uanafunzi. Ingawaje ni wakati mzuri zaidi kwake KWA kuanzia rasmi maisha yake ya kujitegemea.

Kitu muhimu zaidi kwake ni ushauri zaidi WA maelekezo kutoka KWA Watu wengine wenye hekima, Busara NA Maarifa
 
asante mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom