Ushauri wenu kuhusu huyu ndugu

Ushauri wenu kuhusu huyu ndugu

wazazi pia wamemuangaikia sana dawa familia inajua anapenda sana wanawake wakati hamna kitu na kazi hataki kufanya sasa anataka nini ? hana faida.
Sasa mkuu kama jogoo hawiki anakuwaje anapenda sana wanawake,hao wanawake akishawapata anawafanya nini wakati jogoo hawiki
 
Wote nyinyi ni mzigo siwezi kutetea mtu, kinachokufanya kutumia id ya baharia,picha ni bangi,kudhalilisha mtoto kumweka kwenye bicha ya bangi,kutumia maneno ya kiburi kwa ndugu yako bila staa ni dhaili kuwa wewe na yeye ni kitu kimoja!.
 
Huyu mleta mada ni janga kubwa sana, kwanza unawezaje kumchukia kakaako wa tumbo moja na kumletea uzi wa kumkashifu huki jf, alafu eti jogoo hawiki, seriously?
 
mkuu mama nishaongea naye sana, kwakuwa mama hana elimu na pia mawazo yake nifinyu sana ata nasema hajielewi kakosa maalifa ukiongea unaonekana mbaya sasa nmeamua nimuache tu ahangaishwe hadi akome mwenyewe,
mtot wamiaka 32 anaingia adi chumbani kwamama yake anaiba hela anauza ndani vitu ambavyo hakuvinunua yeye , alipo hana kikombe wala kijiko yani yupo yupo tu. napia alipewa akae chumba cha nje kannuliwa kitanda godolo kakaa wiki chache kauza kitanda nagodolo chumba pia kampangisha mtu na hizo pesa zote kanywea pombe
Ndugu nakushauri kama kaka yako,nakuona una roho ya kujiona unajua sana sijui ni hiyo elimu uliyonayo. Huwezi kumsema mama yako mzazi hivyo. Wewe unafikiri inahitajika elimu kiasi gani kuweza kumlea mtu. Kwa taarifa yako mama yako anatumia hekima sana kuhandle hiyo situation hapo nyumbani. Naona hata wewe ni janga,unataka mama yako amtenge kaka yako ahamishe mapenzi kwako
 
habar wakuu, ushauri wenu tafadhali

nina ndugu yangu wa damu kabisa katika familia yetu tupo watatu wakike kaolewa, wapili ndio yeye nawamwisho mimi, nakwasasa nina miaka mitano hatuongei kwakuwa tuligombana kwasababu yatabia zake zakishenzi, pia nyumbani inatambulika mimi simpendi na nayeye hanipendi

yani yeye tangu mzee yupo hai alikuwa mtu wa hovyo sana mzee alikuwa anajitahidi sana kumpa mitaji yabiashara yani yeye wiki tu ameshauwa kila kitu, kwamwaka anaweza akapewa mtaji zaidi ya mara 20 nakuuwa tu.

lakini sasa tangu mwaka jana mzee afariki mama ndio amekuwa amechukua jukumu ilo anampa mtaji lakini bado vile vile, anakaa nyumbani, kwasasa hataki kujishughulisha na shughuli yoyote, anakaa tu nyumbani mda wote anaangalia tv akiomba hela kwamama anataka lazima apewe, mama akisema sina matusi yanaanza nispokuwepo nyumbani hapo hadi mimi siponi, anaanza_ unamuendekeza sana mwanao uyu, mimi sithaminiki humu ndani nmeomba sh elfu 10,000 tu nanyimwa lakini unamuendekeza sana mwanao, ukija kufa atapata shida sana na simpendi.

maneno mengi mpaka mama ata kama hana itabidi atoe tu hiyo hiyo, anasababisha matatizo anazulumu watu anafanya vituko nyumbani, kwasababu mama mpole analipa tu looooh ! nmekelwa na tabia zake , kwasasa anamiaka 32 namimi ni miaka 20 tu na mimi niwamwisho kwetu.

kwasasa naona chuki imezidi sana, ananichukia hadi mimi najishtukia najua anaweza kufanya lolote kwangu ili anione napata shida ata nkikaa home nakuwa makini sana na akiniona mimi anajua sipendi upumbavu anapoa sana lakini nispokuwepo anamtesa sana anamtesa sana mama mpaka mama anafika hatua anasema uyu mtoto analaana

ushauli wenu wadau uyu mtoto wakiume anamiaka 32 ataki kufanya kazi, akipewa mtaji anahonga, analewa kipumbavu nakwasasa nimlevi sana akipewa hela yeye kulewa na anapenda sana wanawake alafu JOGOO HAWIKI, kazi hataki. afanyweje uyu ? anataka nnachopewa mimi nayeye apewe imefikia hatua mama anamuangalia sana yeye kuliko mimi na bado hapendi uwepo wangu. mimi nibado mwanafunzi
ushauri wakuu

asanten.
Ningependa sana kujua ni kwa nini unasema jogoo hawiki? Umejuaje? Hili swali ni muhimu sana ili kuweza kutoa ushauri mzuri zaidi.
 
wazazi wamemsaidia sana kila dawa kila mganga adi inafika hatua anapewa hela akajitibie yeye anatumia matumizi yake
 
Ni yeye aliwaleza hilo tatizo mwenyewe? Mligunduaje? Mlihakikisha kwa njia yoyote? Haiwezi kuwa anawapiga fix tu ili apte fedha za matumizi au msijue kama anahonga wanawake?
 
ata mtaani wanajua, anachkua wanawake alafu hamna kitu wanamhadithia
 
Nitakushauri hivi: Kwa kuwa ni kaka yako, hata kama ana tabia mbaya, usimdharau. Unajua kwenye maisha ukitaka mtu akuheshimu inabidi wewe ndiyo uanze kumuheshimu. Usimwonyeshe dharau za waziwazi wala unapongea naye usitumie maneno makali au kauli chafu. Kingine: Familia yenu haina watu wazima wanaoweza kukaa naye wakamsemesha na akawasikiliza? Kama jibu ni ndiyo je, mmewatumia? Kama bado basi jaribuni kuwatumia. Mimi nahisi kama kweli ana hiyo hali unayoelezea na kama mtaani kila mtu anajua kama unavyosema basi mambo mengi anayofanya ni kwa sababu ya kuchanganyikiwa. Anatakiwa kuwa karibu sana na wanafamilia wake na aone wanampenda. Kadiri mnavyompigia kelele ndiyo kadiri mnavyomchafua akili zake. Mwonyesheni mapenzi na heshima. N akama ni hospital basi ajaribu kuongozana na mtu mzima atakayekuwa anampa ushauri na kusikiliza upande wake wa mawazo kuhusu matibabu.
 
habar wakuu, ushauri wenu tafadhali

nina ndugu yangu wa damu kabisa katika familia yetu tupo watatu wakike kaolewa, wapili ndio yeye nawamwisho mimi, nakwasasa nina miaka mitano hatuongei kwakuwa tuligombana kwasababu yatabia zake zakishenzi, pia nyumbani inatambulika mimi simpendi na nayeye hanipendi

yani yeye tangu mzee yupo hai alikuwa mtu wa hovyo sana mzee alikuwa anajitahidi sana kumpa mitaji yabiashara yani yeye wiki tu ameshauwa kila kitu, kwamwaka anaweza akapewa mtaji zaidi ya mara 20 nakuuwa tu.

lakini sasa tangu mwaka jana mzee afariki mama ndio amekuwa amechukua jukumu ilo anampa mtaji lakini bado vile vile, anakaa nyumbani, kwasasa hataki kujishughulisha na shughuli yoyote, anakaa tu nyumbani mda wote anaangalia tv akiomba hela kwamama anataka lazima apewe, mama akisema sina matusi yanaanza nispokuwepo nyumbani hapo hadi mimi siponi, anaanza_ unamuendekeza sana mwanao uyu, mimi sithaminiki humu ndani nmeomba sh elfu 10,000 tu nanyimwa lakini unamuendekeza sana mwanao, ukija kufa atapata shida sana na simpendi.

maneno mengi mpaka mama ata kama hana itabidi atoe tu hiyo hiyo, anasababisha matatizo anazulumu watu anafanya vituko nyumbani, kwasababu mama mpole analipa tu looooh ! nmekelwa na tabia zake , kwasasa anamiaka 32 namimi ni miaka 20 tu na mimi niwamwisho kwetu.

kwasasa naona chuki imezidi sana, ananichukia hadi mimi najishtukia najua anaweza kufanya lolote kwangu ili anione napata shida ata nkikaa home nakuwa makini sana na akiniona mimi anajua sipendi upumbavu anapoa sana lakini nispokuwepo anamtesa sana anamtesa sana mama mpaka mama anafika hatua anasema uyu mtoto analaana

ushauli wenu wadau uyu mtoto wakiume anamiaka 32 ataki kufanya kazi, akipewa mtaji anahonga, analewa kipumbavu nakwasasa nimlevi sana akipewa hela yeye kulewa na anapenda sana wanawake alafu JOGOO HAWIKI, kazi hataki. afanyweje uyu ? anataka nnachopewa mimi nayeye apewe imefikia hatua mama anamuangalia sana yeye kuliko mimi na bado hapendi uwepo wangu. mimi nibado mwanafunzi
ushauri wakuu

asanten.
Pole sana, ushauri fanya mambo yako achana naye hajitambui huyo
 
Nitakushauri hivi: Kwa kuwa ni kaka yako, hata kama ana tabia mbaya, usimdharau. Unajua kwenye maisha ukitaka mtu akuheshimu inabidi wewe ndiyo uanze kumuheshimu. Usimwonyeshe dharau za waziwazi wala unapongea naye usitumie maneno makali au kauli chafu. Kingine: Familia yenu haina watu wazima wanaoweza kukaa naye wakamsemesha na akawasikiliza? Kama jibu ni ndiyo je, mmewatumia? Kama bado basi jaribuni kuwatumia. Mimi nahisi kama kweli ana hiyo hali unayoelezea na kama mtaani kila mtu anajua kama unavyosema basi mambo mengi anayofanya ni kwa sababu ya kuchanganyikiwa. Anatakiwa kuwa karibu sana na wanafamilia wake na aone wanampenda. Kadiri mnavyompigia kelele ndiyo kadiri mnavyomchafua akili zake. Mwonyesheni mapenzi na heshima. N akama ni hospital basi ajaribu kuongozana na mtu mzima atakayekuwa anampa ushauri na kusikiliza upande wake wa mawazo kuhusu matibabu.
baba ameshakaa nakuongea nae sana, watu wazima wenye heshima zao yeye anawajibu zarau nakuwatukana. hapo hakuna namna tena
 
Mtoto wa kiume ukipendwa sana na mama unakua fala
Hata mwetu yupo
Mimi ni last born yeye ni first lakini mpaka kufikia leo mimi nimegeuka kuwa first born yeye last -
Hayo mambo baadhi ya familia yapo ukizaliwa huko lazima ujue Wewe ni BORN TO FIGHT maana Home hupendwi/huwezeshwi yani unapambana na hali yako since day 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom