mkuu jambo la binadam ni la mda mrefu na utatuzi wake ni taratibu bt hili limenikaa kooni nahitaji nifanye maamuzi hivo nahitajia ushauri wako.Hujamaliza issue ya kumzalisha binamu yako ambaye kaolewa na ana mume,halafu unataka kurukia binti mwingine? inaonekana akili yako hua inawaza ujinga ujinga tu.
Aisee umejibu kwa jazba sana nadhani mtoa mada angekua karibu yako ungemsindikiza na kelebu[emoji28][emoji28]Acha ujinga tafuta pesa kuikomboa Africa kupitia watoto ulionao. Mtu una mke maana yake ni mtu mzima lakini una mawazo mfu,unakuja hapa kuongea vitu vidogo tena vya kijinga kabisa nyie ndo mnasababisha umasikini Africa,badala uje na mada ya ufanye nini kibiashara,kilimo ili kukuza uchumi na masuala mazima ya kukua kijamii unakuja na umalaya
Kuna watu wana kumbukumbu humuumkuu jambo la binadam ni la mda mrefu na utatuzi wake ni taratibu bt hili limenikaa kooni nahitaji nifanye maamuzi hivo nahitajia ushauri wako.
mkuu utamshirikishaje mtu asietaka jambo? hili ndo limesababisha nilete kwenu.Ukishakuwa na mke utajua jinsi ya ku deal na situation kama hiyo. Hakuna mwanaume kamili mwenye mke anaeweza kuuliza swali kama hilo. Maana kawaida sisi wenye ndoa tukiwa katika hali kama hiyo mtu wa kwanza kuzungumza nae kutaka ufumbuzi ni mke wako.
mkuu utamshirikishaje mtu asietaka jambo? hili ndo limesababisha nilete kwenu.
kumbe kuna wanaume wanawivu wa kike namna hii?Nadhani una matatizo upstairs,jitafakari.
mkuu wake wengi hawapendi mitaala na hii ndo changamoto ilofanya nitake ushauri kwenu.Kwanini asitake wakati ni mke wako huyo? Kwani mkeo anakushinda?
Unaonekana bado ni mtoto umshirikisheje mke wako Jambo la kumuongezea mwenza serious labda awe muislamu lakin tofauti na hapo utaleta mgogoro katika ndoaUkishakuwa na mke utajua jinsi ya ku deal na situation kama hiyo. Hakuna mwanaume kamili mwenye mke anaeweza kuuliza swali kama hilo. Maana kawaida sisi wenye ndoa tukiwa katika hali kama hiyo mtu wa kwanza kuzungumza nae kutaka ufumbuzi ni mke wako.
mkuu wake wengi hawapendi mitaala na hii ndo changamoto ilofanya nitake ushauri kwenu.
Unaonekana bado ni mtoto umshirikisheje mke wako Jambo la kumuongezea mwenza serious labda awe muislamu lakin tofauti na hapo utaleta mgogoro katika ndoa