ushauri wapendwa si mimi ni ...

LF1 fuata nyuki nawe ule asali lakni si mara zote utakula asali,wakati mwingine watakuuma
 
Nadhani hapo aangalie kitu kingine au aende next step nadhani ndiyo itakuwa vizuri,Sidhani kama ndoa inakuzuia kutake any action ambayo hujafurahiwa nayo!
 
Ni kiasi cha kwenda na kuwaeleza wazazi juu ya tabu hii then wataamua! Unajua ni rahisi kuambiwa amvumilie mlevi kuliko yule aliyetamka kabisa kuwa si choice yake. Otherwise Yeye ndie mvaa kiatu so anajua wapi kinambana zaidi so blahblah za vumilia azipime kwanza na situation yenyewe!!

naona kama ndoa nyingine zinz misalaba unadhani umepata kumbe umepatika

wazazi hapo watakwambia mwanangu vumilia tu yana mwisho sisi tumepitia mengi sana utafanyaje ??
 
Nadhani hapo aangalie kitu kingine au aende next step nadhani ndiyo itakuwa vizuri,Sidhani kama ndoa inakuzuia kutake any action ambayo hujafurahiwa nayo!

next step kama kulivua pendo au??
 
FL1 ukienda kusoma urusi utakuwa unapiga mswaki na Vodka. Huyo alieolewa na huyo jamaa wa urusi hapo ni bora afungashe maana hataweza kuwa mtumwa wa ndoa. sometimes you need to set your love free rather kuteseka kwenye ndoa kama hizo. Achane na huyo fisadi kwenye ndoa huo ndo ushauri wangu. Mi nilishamshuhudia engineer mmoja huku arusha yaani ni mlevi hata sokomoko ni cha mtoto kazi kujisifu tu nimesoma kwa Vladmir vodka

hahahah kumbe ...ooh gosh nadhani huyu bibie ndani ya nyumba kutakuwa kumejazana machupa ya bia pole zake

lakini na yeye kwa nini alikubali kuolewa na mtu hawajuani kisa family friend wazazi ndo wanafahamiana kwa undani??
 
FL naomba ni pm no. ya huyo dada niwe nampa ushauri hapa anaweza kuwa hasomagi au uta print umpelekee?
 
FL naomba ni pm no. ya huyo dada niwe nampa ushauri hapa anaweza kuwa hasomagi au uta print umpelekee?

Nguli nikiku -PM namba yake unaweza kupelekea kuvunja hii ndoa
ndoa yenyewe tayari imeshikiliwa ina ufa
mshauri hapa hapa nitaprint nimpelekee
 
Kuoana na mtu eti kisa familia sinafahamiana nayo jamani sio,maana sidhani kama kunakuwa na mapenzi ya dhati,nionavyo ni kwamba yale mazingira ya urafiki wa wazazi ndo yanasababisha nanyi mnakua marafiki,na mwishilio ndo mambo kama hayo,yawezekana jamaa alishawishiwa na wazazi kwamba muoe mtoto wa fulani na madhara ya kushawishiwa ndo hayo mara oo wewe sio choice yangu,sasa kama mimi sio choice yako ina maana ya kwamba kuna ambacho kilimshawishi wakati huo alipokua anataka kuoa.
Hivi mpaka mtu ananiambia kwamba mimi sio choice yake bado tu naendelea kukaa hapo,nikisubirir nini,kuna mambo mengine jamani huwa hayavumiliki,kama hilo la kashfa za sampuli hiyo hapana,mwambie huyo rafiki yako apime akiona bado anaweza kuishi na huyo jamaa aendelee.
 
Hivi lini wazazi wataacha kuingilia maisha ya watoto wao na kuwaacha wachague wenza wao wenyewe? Haya sasa hapo bibie kashaambiwa yeye hakua chaguo lake ata semaje tena?
 
MIE NADHANI KUNGEKUWA NA SHERIA KAMA NDOA IMEKUSHINDA KAMA HII UNAKATA KONA
NDO MWANZO WA KUPATA bp,shell,caltex na ma EPA juu

sheria ya haiitajiki hapo kama ambavyo hujaingizwa nayo, yamekushinda ni suala la mhucka kuchambua chuya na mchele,ameshasema sio choice yake huyo dada anataka miujiza tena?. ni suala la huyo mdada kuamua kusuka au kunyoa.
 
Hapa MJ1 wazazi hawana nafasi kwa hali ilivyo sababu hata chanzo cha kufika hapo ni mahusiano ya hao wazazi.Huyu dada hapo ni yeye mwenyewe kusuka au kunyoa kwa vile huyu bwana hana upendo.eidha aondoke aendelee na misha yake au avumie yote na kutafuta mbinu pengine atakuja kubadilika badae.Hapa hata tukimshauri vipi at the end of the day yeye ndio mwenye hatima ya ndoa yake.

ZD mdogo wangu nadhani na wewe unakaribia kuingia kwenye hii safari, hakunaga kubadilika baadae/mbeleni bali ndio atazidisha, uciingie kwa kubadilisha mtu ni ngumu sana kumbadili mtu mzima, tunasemaga maombi lakini mtu unachoka jamani mana unaliombea kesho ndio halirudi na likirudi ni matuc/manyanyaso...mie caminigi kubadilika kwa limtu lizima kabisa.
 
Darling siku zote mlevi anayerudia the same kashfa huwa anasema lililo moyoni mwake so si pombe.

Ajikite kwenye maombi!

sawa kabisa, wanacngizia pombe tu, mie asemacho hata kama yupo njwiii kwa namna gani nakichukulia kakimaanisha na wanamaanisha kabisaa, mhh hapo kwenye maombi nina frnd alieomba juu ya mumewe mpaka akaingia na makanisa cjui ya kiroho ghafla kaokoka kumbadili mume, yalimshnda na ndoa ikamshinda na ulokole ukafa....
 
ZD mdogo wangu nadhani na wewe unakaribia kuingia kwenye hii safari, hakunaga kubadilika baadae/mbeleni bali ndio atazidisha, uciingie kwa kubadilisha mtu ni ngumu sana kumbadili mtu mzima, tunasemaga maombi lakini mtu unachoka jamani mana unaliombea kesho ndio halirudi na likirudi ni matuc/manyanyaso...mie caminigi kubadilika kwa limtu lizima kabisa.

Nyamayao ni kweli kabisa unayosema,ni ngumu sana kumbadilisha mtu tabia yake,kubadilika kwa tabia ya mtu kunamtegemea mhusika yeye mwenyewe na kama hayuko tayari kubadilika hata uombe hatabadilika.Maana hapo maombi yatafanayaje kazi na mtu hayuko tayari kuacha hizo tabia? ni sawa sawa na kumwombea mtu mwenye mapepo ukamwambia ukifika nyumbani utupe hirizi zote,na akifika nyumbani hatupi unafikiri nini kitatokea si bado mapepo yataendelea kumsumbua maana hayuko tayari kutupa vile vinavyosababisha.Kwa hiyo kubadilisha tabia ya mtu ni ngumu sana.
 
ni kweli nyamayao huyu jamaa uwezo wa kubadilika kwake mie sioni zaidi binti kila siku anakonda na mawazo na kushindwa kula hata chakula eeh
 
Nyamayao ni kweli kabisa unayosema,ni ngumu sana kumbadilisha mtu tabia yake,kubadilika kwa tabia ya mtu kunamtegemea mhusika yeye mwenyewe na kama hayuko tayari kubadilika hata uombe hatabadilika.Maana hapo maombi yatafanayaje kazi na mtu hayuko tayari kuacha hizo tabia? ni sawa sawa na kumwombea mtu mwenye mapepo ukamwambia ukifika nyumbani utupe hirizi zote,na akifika nyumbani hatupi unafikiri nini kitatokea si bado mapepo yataendelea kumsumbua maana hayuko tayari kutupa vile vinavyosababisha.Kwa hiyo kubadilisha tabia ya mtu ni ngumu sana.

msindima kwa imani nguvu ya mungu ipo na inafanya kazi lakini ndo majibu hayawezi kuonekana leo au kesho sometimez inatake time
 
kina dada kuna kitu nimekaa usiku kabla sijalala nimewaza sana juu ya huyu dada sijapata jibu
kama mjuavyo ndoa zetu za kikristo zinasema kilichounganishwa duniani na mbiguni kkimeunganishwa hakuna mwanadamua anayeweza kukitenganisha

Swali ...Kama huyo Bibie kwa sasa ana miaka 27 akitoka kwa mmewe itakuwaje kama in future atahitaji kuwa na watoto wake na kiumri bado ni mdogo hataweza kuwa na mahusiano na mtu mwingine na kuyaita mahusiano halali yaani aishi nae kama mme na mke ???

Y kwa nini??
 
msindima kwa imani nguvu ya mungu ipo na inafanya kazi lakini ndo majibu hayawezi kuonekana leo au kesho sometimez inatake time

kuna member mmoja humu anaamini hakuna Mungu, sasa huyo ndio mumeo utamuombea kivipi na yeye haamini? wacheni bwana anaeombewa nae aonyeshe dalili za mabadiliko, sio kuomba tu wakati mtu hayupo huko..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom