ushauri wapendwa si mimi ni ...

Bila asante FIRSTLADY1, maisha ndivyo yalivyo, mwenzetu leo ni hivyo lakini kesho na kesho kutwa yanaweza kuwa kwetu, kwa ndoa zetu ama wachumba zetu. KARIBU
 
Huyo hana nia ya kuondoka, angekuwa anataka kuondoka asingeuliza mtu yeyote! Kama vp aje nimshauri vizuri!
 
ushauli wako mzuri pia jethro
naomba nitoke nje ya mada kidogo samahani we ni Me/Ke
asante

Teh Teh FL1 nawe mie ni Me ndugu yangu ,

Naitambua ndoa vyema, Mshauri mwenzi vyema atafanikiwa kwani atakuwa ameathirika ki-psychological maisha haya yalivyo na ups and down ukienda job mambo kibao na ukirudi Home jioni ndio karahaa tupu hata wa kumliwaza

Kwenye mambo ya msingi tushauriane kimsingi kweli kweli sio kupotezeana mwelekeo

Hoja yako imelenga JF na wanajamii wengine

Twipooooo
 
thanks
ndoa du
 
Mwanaume akishasema kwamba mke SIYO CHOICE yake, impliedly, HAMPENDI mkewe. Kuna choice yake iko mtaani na ndiko ambako huwa anakwenda kupata huduma ambayo akifika nyumbani hataki kumpatia mkewe mpaka kwanza wagombane. Hapo hakuna ndoa!

Huyo Dada aondoke, akiendelea kukaa hapo anataka kudhalilishwa hapo baaaye. Iko siku mume atakuja na chaguo lake hapo nyumbani (mke mwenza), and it will be too late for her to make any move/decision.

Au arudi kwao temporary (temporary separation) baada ya hapo ataamua kurudi ama aendelee na maisha yake. Hii itategemeana na reaction ya mume wake.
 
ni mahusiano na urafiki wa familia zao ndio uliopelekea yeye na mwenzi wake kuwa wife & husband mwaka mmoja na nusu sasa

Mwanaume alikuwa anasoma urusi -mwanamke akiwa TZ anafanya kazi kutokana na ukaribu wa familia zao na maelewano ..ndipo wakaamua wafanye muunganiko kati ya sistery and brother
mahusiano ya muda mfupi yakafanyika na ndoa takatifu ikafungwa
Sasa ndani ya nyumba mme hashikiki ni mlevi kupindukia anarudi usiku wa manane akirudi home bibie hapewi haki yake na akipewa ni kwa ugomvi na masimango
eti we Q sio choise yangu ni family ndo zilituunganisha imekuwa kama wimbo wa Taifa
Q anauliza je aondoke katika hii ndoa ya masimango au afanye nini

pombe ni mama wa maasi, mwambie aitishe kikao na wazee atoe dukuduku lake na mume ashauriwe kuacha pombe haraka iwezekanavyo. kama mume hatoweza kuacha pombe basi ni vyema hiyo ndoa ikavunjika. kwasababu mlevi kama huyo anaweza hata siku moja akaja kumdhuru mke wake au hata kumuuwa bila ya kujua anachokifanya. mshauri mwanamke awe jasiri kuikabili hiyo hali kuitafutia ufumbuzi, vyenginevyo atakuja kuyajutia maisha siku za mbeleni. ulevi unazaa mengi sana yasiotarajiwa.
ni ushauri wangu tu kama haufai utie kwenye taka.

quiet

Mwanaume akishasema kwamba mke SIYO CHOICE yake, impliedly, HAMPENDI mkewe. Kuna choice yake iko mtaani na ndiko ambako huwa anakwenda kupata huduma ambayo akifika nyumbani hataki kumpatia mkewe mpaka kwanza wagombane. Hapo hakuna ndoa!

Huyo Dada aondoke, akiendelea kukaa hapo anataka kudhalilishwa hapo baaaye. Iko siku mume atakuja na chaguo lake hapo nyumbani (mke mwenza), and it will be too late for her to make any move/decision.

Au arudi kwao temporary (temporary separation) baada ya hapo ataamua kurudi ama aendelee na maisha yake. Hii itategemeana na reaction ya mume wake.

thank you keil
well noted mawazo yenu yote yanamfikia mhusika
 
pombe ni mama wa maasi, mwambie aitishe kikao na wazee atoe dukuduku lake na mume ashauriwe kuacha pombe haraka iwezekanavyo. kama mume hatoweza kuacha pombe basi ni vyema hiyo ndoa ikavunjika. kwasababu mlevi kama huyo anaweza hata siku moja akaja kumdhuru mke wake au hata kumuuwa bila ya kujua anachokifanya. mshauri mwanamke awe jasiri kuikabili hiyo hali kuitafutia ufumbuzi, vyenginevyo atakuja kuyajutia maisha siku za mbeleni. ulevi unazaa mengi sana yasiotarajiwa.
ni ushauri wangu tu kama haufai utie kwenye taka.

quiet

thanks quiet
ushauri wako ni mzuri na unafanyiwa kazi
 
kina dada kuna kitu nimekaa usiku kabla sijalala nimewaza sana juu ya huyu dada sijapata jibu
kama mjuavyo ndoa zetu za kikristo zinasema kilichounganishwa duniani na mbiguni kkimeunganishwa hakuna mwanadamua anayeweza kukitenganisha

Swali ...Kama huyo Bibie kwa sasa ana miaka 27 akitoka kwa mmewe itakuwaje kama in future atahitaji kuwa na watoto wake na kiumri bado ni mdogo hataweza kuwa na mahusiano na mtu mwingine na kuyaita mahusiano halali yaani aishi nae kama mme na mke ???

Y kwa nini??

Akitaka kufanikiwa kupata mume ampendaye na kuishi maisha yenye nafuu, aachane na hayo mambo ya dini, ni uchuro tu! Dini hizi za kizungu wenyewe zimewashinda talaka nje nje kila kukicha, bado tunazing'ang'ania tu! Hazina mpango wala nini! Achana na dini endelea na maisha yako.
 
Mkuu lazima uwe karibu na MUNGU na dini ndiyo inakuleta karibu naye usiidharau dini
 
pombe ni mama wa maasi, mwambie aitishe kikao na wazee atoe dukuduku lake na mume ashauriwe kuacha pombe haraka iwezekanavyo. kama mume hatoweza kuacha pombe basi ni vyema hiyo ndoa ikavunjika. kwasababu mlevi kama huyo anaweza hata siku moja akaja kumdhuru mke wake au hata kumuuwa bila ya kujua anachokifanya. mshauri mwanamke awe jasiri kuikabili hiyo hali kuitafutia ufumbuzi, vyenginevyo atakuja kuyajutia maisha siku za mbeleni. ulevi unazaa mengi sana yasiotarajiwa.
ni ushauri wangu tu kama haufai utie kwenye taka.

quiet

Hapo kwenye red ndio kitu ambacho napingana nacho kila siku. Mi ni mtu wa ulabu na ndoa yangu iko as strong as a rock.
 
xpin hapa nilijua lazima ukate rufaa ..bado geoff na Fidel hahaha

Wapwa wako bize na maandalizi ya get tugedha ya jumamosi. Geoff yuko vekeshen anarudi kesho. Carmel naye vekeshen. Hiyo get tugedha tutapanga zawadi ya kukupa.Ulabu kama kawaida yetu.... Hahaha!
 
Hapo kwenye red ndio kitu ambacho napingana nacho kila siku. Mi ni mtu wa ulabu na ndoa yangu iko as strong as a rock.

Ulabu noma unakuwa unatabasama kama huna matatizo lakini yamekujaa tele! Labda kama mwenzetu anakunywa chang'aa maana pombe ziko za aina nyingi
 
Nahitaji kuombwa radhi kwenye hiyo bold. Ukitaka kujua huwa namwagia nini kwenye utumbo wangu nenda pale SBL uwaulize mauzo yao yanakuwaje wakati nikiwa kwenye dozi. FYI ulabu ni suluhisho la matatizo na kileta ushujaa kwenye kila kitu. Nasubiri kuombwa radhi, am serious!
 
I wrote labda! If you are not then be free! We are together as 1
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom