Ushauri wangu kwako Tundu Lissu

Hii ni point japo utapigwa mawe, lakini pia kingine ni kwamba TAL huwa ana siasa za kiuanaharakati ili kutetea tumbo lake kupitia ufadhili.

Maana yangu ni kwamba mapambano yote yale si kwasababu ya ukombozi wa wananchi bali ni masilahi binafsi
 
Maslahi yapi? Akitaka maslahi si angeshaenda CCM muda huu angekua waziri wa sheria au mwanasheria mkuu wa serikali angekua anakula maisha tu.

Mwanasiasa pekee anayeaminika nchi hii ni Lissu tu hata CCM kawafanyie survey watakwambia hilo wote waliobaki kina Kabudi, Nchemba, Nchimbi wote ni wale wale tu.
 
Hii ni point japo utapigwa mawe, lakini pia kingine ni kwamba TAL huwa ana siasa za kiuanaharakati ili kutetea tumbo lake kupitia ufadhili.

Maana yangu ni kwamba mapambano yote yale si kwasababu ya ukombozi wa wananchi bali ni masilahi binafsi

Hujamfahamu TAL.

Angekua hivo asinge kua Huko alipo mpaka sasa.
 
Uvccm na machawa mpaka mnye mavi, Lissu shikilia hapohapo nguruwe wanatoa milio kwenye makorido ya Lumumba.
 
Lissu ni aina ya watu wachache sana ambao dunia inaweza kuwapata ambao wapo tayari kuteswa, kuumizwa au kuuawa ilimradi tu wanasimama katika kusudi na imani waliyojiwekea, kiufupi watu wa haina hii hawayumbishwi na chochote wanaishi kwa principles zao na hawawezi kukubali kuwa mbwa au mtumwa wa mtu fulani, wanasiasa kaliba ya Lissu ni nadra sana kuwapata
 
Watanganyika wapumbavu sasa hivi mkombozi wao eti tapeli Gwajima.
Aiseee Tanzania kuna watu wajinga sana.
Mtu kapiga pesa za CCM baada ya kuona Dili lake la u president limebumba leo kawa mpinzani wa Rais na Watanganyika wanamwona shujaa
Serikali ilifungia kabisa kanisa la tapeli?
 
Ni masalia ya Mwisho mwisho ya siasa za akina Nyerere, Sokoine, Nelson Mandela and the like.
 
Ushawishi unaendelea je mtafanikiwa?
 
Hii ni point japo utapigwa mawe, lakini pia kingine ni kwamba TAL huwa ana siasa za kiuanaharakati ili kutetea tumbo lake kupitia ufadhili.

Maana yangu ni kwamba mapambano yote yale si kwasababu ya ukombozi wa wananchi bali ni masilahi binafsi
 
Nataman kama angeweza kusoma hapa na akafata haya Mawazo, Ili tuone mwisho wa yote n nini
 
Uvccm na machawa mpaka mnye mavi, Lissu shikilia hapohapo nguruwe wanatoa milio kwenye makorido ya Lumumba.
Fala kweli wewe! Lisu shikilia hapo hapo wewe upo zako kwenye keyboard na baadae urudi zako kumpa mkundu mumeo mnalala mmekumbatiana kwa raha zenu halafu unamchocheq mwenzako ambaye mwaka sasa yupo jela,
 
Wewe ndio unaonesha ubinafsi kwa ushauri wako huu. Yeye Lissu ameamua kujitoa kwa ajili ya watanzania wewe huku unaumia na kumkatisha tamaa?
 
Hii ni point japo utapigwa mawe, lakini pia kingine ni kwamba TAL huwa ana siasa za kiuanaharakati ili kutetea tumbo lake kupitia ufadhili.

Maana yangu ni kwamba mapambano yote yale si kwasababu ya ukombozi wa wananchi bali ni masilahi binafsi
Kwa akili ya kawaida tu mtu anayetetea tumbo lake angeweza kukataa ofa za serikali hadi kipindi hiki?

Kwa hiyo Usalama wa Taifa hawajui kama Lissu analipwa na mataifa ya nje kufanya harakati za kichochezi ila wewe Agustino wa Kisemvule unajua?

Wanaopinga makalio hayawezi kutumika kufikiri wanatumia hoja zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…