NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,001
- 21,298
Karibuni muongeze ushauri kwa raisi wetu!!!
Haya hayasomi, yuko insta kwenye page ya Sepenga
Anamalizia na mbwata ya Mariam Mabiriani🤣🤣🙌! Na pgs za bootlicious!
Anamalizia na mbwata ya Mariam Mabiriani
Na Facebook mkuuHaya hayasomi, yuko insta kwenye page ya Sepenga
Unajua maana ya utekaji wewe?Karibuni muongeze ushauri kwa raisi wetu!!!
Kwa maana hiyo Nyumbu ni werevu kuliko Jeshi la Polisi na Serikali kwa ujumla??#Nyumbu bhana ni shida sana nyie wakati wa JK mlianzisha maandamano na mauaji ili kusingizia serikali ionekane mbaya, mkaanzisha ugaidi ukamalizwa Kibiti huko na mahali kwingineko
Sasa mmeanzisha utekaji na mabwana zenu refer to Zitto Kabwe na Uzushi wa kutekwa msaidizi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ !JPMRais yupi mkuu?
[QUOTE=Niambie maana yake mkuu!au ni kutoweka ghafula kama unyakuo???Unajua maana ya utekaji wewe?