Ushauri wangu kwako Rais Magufuli

#Nyumbu bhana ni shida sana nyie wakati wa JK mlianzisha maandamano na mauaji ili kusingizia serikali ionekane mbaya, mkaanzisha ugaidi ukamalizwa Kibiti huko na mahali kwingineko
Sasa mmeanzisha utekaji na mabwana zenu refer to Zitto Kabwe na Uzushi wa kutekwa msaidizi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
@STDVII ukiona watu wanajadili makubwa kuliko akili yako, ili uongeze uwezo wako wa uelewa ni kuyasoma kwa makini na sio kuweka uharo wako na kuchafua mjadala.
Bladi basiketiboli!€¢¶

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu uingie madarakani kumekuwa na hii teka teka ya watu ambayo imezua taharuki!!

Wewe kama kiongozi unapaswa kuweka sawa na kutufahamisha kuwa hawa watekaji au wahuni ni kina nani na wana malengo gani hasa, kwani kukaa kwako kimya ni kuhalalisha utekaji na kuonyesha hautujali sisi wananchi.

Kama jeshi letu limeshindwa kuwapata watekaji omba msaada nje ya nchi ili haya matukio yakome.

Tangu tumepata uhuru hakuna utawala ambao Watanzania wamesikia na kushuhudia utekaji tekaji kama huu unaoendelea.

Kazi ya baba kiongozi katika familia ni kuhakikisha usalama wa wanafamilia na wewe kama kiongozi hakikisha usalama wa raia wako kwa sababu ndo wanaokulipa mshahara na unawatumikia wao.

Unapokaa kimya raia wanajiuza maswali yafuatayo ambayo sio mazuri:

1. Je kukalia kimya utekaji unaonyesha upo nyuma ya watekaji?

2. Je vyombo vya ulinzi vimeshindwa kuwakamata watekaji? Yaani watekaji ni smart sana kuliko jeshi letu?

3. Je watekaji ni watu wanao shirikiana na jeshi letu?

4. Je utekaji ndo sera mpya ya chama tawala?

5. Au serekali ya awamu hii haiwezi kutekeleza majukumu yake bila kuwepo utekaji?

6. Au serikali ndio mtekaji mkuu wa raia wake na haina njia mbadala ya kujibu hoja za ukosoaji wa sera?

7. Umeamua kuacha utekaji uendelee ili Watanzania wachoke utawala wako ili 2020 usigombee tena kwasababu umechoka kazi ya urais?

Tunaomba ukemee utekaji, Utekaji unazua maswali mengi sana kwa sisi wapiga kura.
Hakuna utekaji unaofanywa yeye asijue na kutoa baraka zake.
 
Halafu leo mtamuona kanisani. Trump alisema waafrika ni wanafiki, wanajifanya kumuabudu Mungu kumbe nyuma ya pazia ni ushetani tu
 
#Nyumbu bhana ni shida sana nyie wakati wa JK mlianzisha maandamano na mauaji ili kusingizia serikali ionekane mbaya, mkaanzisha ugaidi ukamalizwa Kibiti huko na mahali kwingineko
Sasa mmeanzisha utekaji na mabwana zenu refer to Zitto Kabwe na Uzushi wa kutekwa msaidizi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

STD VII,
Wewe ni pambaf,bombadier na medulla oblongata…!Jina lako na ulichoongea lina dhihirisha IQ uliyo nayo!
Unaweza kuelezea nn kilichotokea juzi kwene tukio la utekaji wa Tito Magoti?Polisi wanabshana wao kwa wao kuwa Tito ametekwa na Polisi au hajatekwa na baadae unaskia kapelekwa Mahakamani unapata picha gani?
Sasa CHADEMA wanahusikaje hapo?
 
#Nyumbu bhana ni shida sana nyie wakati wa JK mlianzisha maandamano na mauaji ili kusingizia serikali ionekane mbaya, mkaanzisha ugaidi ukamalizwa Kibiti huko na mahali kwingineko
Sasa mmeanzisha utekaji na mabwana zenu refer to Zitto Kabwe na Uzushi wa kutekwa msaidizi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wapo smart kuliko vyombo vya dola na wameweza kutokushikiliwa kwa makosa hayo,bora tujisalimishe kwao labda tutakuwa salama.
Serikali IPO kimya,utekaji umekithiri,kesi za uhujumu uchumi ni kwa ajili ya wakosoaji,bado tuwatafute wasiojulikana?
 
Meko nchi imemshinda. Huu mwenendo wake wa kukamata wakosoaji wake kisha kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi unathibitisha kwamba yeye ni DIKTETA.

Sifa mojawapo ya madikteta ni hii. Imeshawahi kutumiwa na madikteta wengi sana hapa Afrika, nao ni, Idd Amin, Mobuto Seseseko, Omar Al-Bashir na hata rafiki mkubwa wa Meko yaani Paul Kagame.
#Nyumbu bhana ni shida sana nyie wakati wa JK mlianzisha maandamano na mauaji ili kusingizia serikali ionekane mbaya, mkaanzisha ugaidi ukamalizwa Kibiti huko na mahali kwingineko
Sasa mmeanzisha utekaji na mabwana zenu refer to Zitto Kabwe na Uzushi wa kutekwa msaidizi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mambo ya ajabu yanatokea ndani ya nchi halafu dola inakaa kimya ujue wao ndiyo wahusika!

Aliyeusema huu msemo sijui ni nani? Nimemsahau.
 
Back
Top Bottom