Mimi nikiwa mmoja wa watu ambao tumeweka matumaini makubwa kwa chama cha Chadema kuleta mageuzi nchini nina ushauri mdogo sana kwa Zitto kuhusu SIASA zake na misimamo yake ambayo ndiyo sababu na chanzo cha yeye kuwa bangusilo ktk kila tukio la Upinzani....
Mkuu wangu binafsi yangu sidhani kabisa kwamba Zitto anasukumwa na tamaa ya Pesa - Hapana.. sio kweli kwa sababu namjua Zitto japo sii kwa saana hivyo. Sii mla rushwa tena nadhani anapiga vita rushwa kuliko watu wengi sana hata ndani ya chama chake mwenyewe hupenda kuhoji matumizi ya chama..Ni mtu safi sana inabidi uwe naye karibu ndio utamjua..Mkandara nakubaliana na wewe kabisa Zitto saa hizi anyamaze kabisa na aachane na siasa za kutetea Chama Tawala, hata km anatafuta pesa za kugombea nafasi za juu katika Chama chake au Urais, pesa chafu zitammaliza, hadi ataenda kugombea binafsi na huko hakuna wapiga kura wala wapambe, Pia aachane na Magazeti kabisa sio yote mazuri angefuatila Gazeti la Jamhuri au Majira ndio angeamini hawako nae
Usafi huanzia nyumbani mkuu...Enough about Zitto now
lets move on na vitu muhimu vya kujadili katika Taifa hili
Enough about Zitto now
lets move on na vitu muhimu vya kujadili katika Taifa hili