Ushauri wangu kwa wanaume


Hakuna ushauri hapo
 
Mm! Idadi kubwa ya wapenzi? Hpn, na ukimwi je? kwanza utawahudumiaje? Unajua kuwa na mw'mke (sio mke) ni gharama? Tafuta wa kukupenda kwa dhati na wewe umpende kwa dhati mtaishi tu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kwani umeambiwa idadi kubwa ya wapenzi ndio inaleta ukimwi?hiyo haigarantii kupata ukimwi,unaweza kuupata hata bila mpenzi. Kuhusu mimi kumpata mtu nimpende soma ushauri wangu namba 2.
 
yatabaki maneno tu hayo..... usifanye mchezo na emotions wewe.... utakuja kupenda mpaka unaugua shauri yako.... ngoja mie nifate moyo unasemaje....

Labda nifanyiwe mazingaombwe ya kichawi vinginevyo itakua ndoto ya mchana.
 
mm mwenyewe nashangaa eti me unatoswa afu unaumia?? wkt ndio kakulahsishia kupata mwngne..afu me uliekamilika huwezi kua na dem mmoja bana....at least 4 ni vzr zaid

Good,very good. Mwanaume kumiliki mpenzi au mke mmoja ni kujitakia presha ya bure,tena kama unampenda ndio utawahi kufa.
 
Doooo unahalarisha michepuko, we unaowangapi mkuu

Jiulize kwa nini FIFA au TFF wana utaratibu wa wachezaji 25 au zaidi wakati wanaocheza uwanjani ni 12?wanajua madhara ya kumtegemea mchezaji mmoja,akiumia,kuugua au kuzira utafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…