Ushauri Wangu kwa Wakongo (DRC)

Ushauri Wangu kwa Wakongo (DRC)

Uungwana ni tunu, na kuheshimu maoni ya wengine ni utu, hata kama unatofautiana nao. Aidha, kukosoa kwa staha bila matusi ni kujiheshimu mwenyewe.
Kuna Watu Vichwani mwenu mmejaza Usaha tu. Hivi Nchi kuwa na Machafuko ndiyo Kigezo cha Kutengwa?....
 
Ningekuwa mweupe nisingeshiriki na kuaminiwa katika mijadala mingi ya kimataifa, hasa vyombo vya habari vya kimataifa. Wewe ndiye mweupe unayedhani sehemu moja ya nchi ikiwa na mgogoro basi huo si wa nchi nzima. Unakosea sana!..
Hoja kubwa ambayo umeleta ni kuwa wanamziki waanche kupiga mziki watafute amani!!chanzo cha mzozo wa congo ni nje ya congo!!wao kwa wao hawana shida, na kuwa eti amepewa uenyekiti wa AU, wakati kwake kuna vita??!kumbe hujui hata utaratibu wa kuwa mwenyekiti!
 
Najua sana kuliko wewe! Sikiliza DW mchana kesho kutwa
Hoja kubwa ambayo umeleta ni kuwa wanamziki waanche kupiga mziki watafute amani!!chanzo cha mzozo wa congo ni nje ya congo!!wao kwa wao hawana shida, na kuwa eti amepewa uenyekiti wa AU, wakati kwake kuna vita??!kumbe hujui hata utaratibu wa kuwa mwenyekiti!!
 
Najua sana kuliko wewe! Sikiliza DW mchana kesho kutwa
Daaaaa!!yaani mgogoro wa DRC, uulinganishe eti na HAND SHAKE, ya kenya na muafaka wa zanzibar?!!hauko serious mkuu!!kwani kutoa mchango wako redioni, ni kipimo kuwa unajua, mala ngapi mijadala hiyo, huwa ina kuwa na watu wa ajabu ajabu, yaani toka mwanzo ni unazi tu, hakuna hoja!!tena nimekumbuka kuna anayejiita mchambuzi wa masuala ya siasa kupitia DW kutokea mwanza, daa ni aibu, kwwnye uchaguzi wa USA, alivyokuwa anachambua aibu niliona mimi!!ila nahisi kama ni wewe vile?

Mchambuzi pekee wa mambo ya siasa TZ, ni GENERALI ULIMWENGU, tu!!mala ngapi kwwnye kipindi cha uchaguzi uliopita, kwenye hiyo mijadala mlikuwa mnaendeshwa na uwoga tupu?
 
Nadhani tungetumia vizuri fursa ya ujirani na uwepo wa maliasili zao kwa maendeleo ya nchi yetu. Hao Wakongo waendelee tu kutuburudisha na Ma soukouss yao.

Haiwezekani Mabeberu wa Kichina, Kimarekani, Kibeligiji, Kifaransa, Rwanda na Uganda wanafaidi, halafu eti sisi tunashangaa tu.
tupe mikakati,tufanye nn nass watz tufaidi raslimali zao????
 
UGONJWA UNAO WATAFUNA WA CONGO,NI UBINAFSI NA HAWAPENDANI WAO KWA WAO...ndio maana wanauwana wao kwa wao kila siku.hakuna ambae anaweza kwenda kuwapatanisha, wangekuwa ni watu wa kupatanishika,wangekuwa walishapatanishwa kitambo tu,tangu enzi za mwal.jk hadi leo wanapatanishwa wanakubaliana leo,kesho wako msituni na mi AK47 wanawindana,utadhani panyabuku.

Halafu vijana wao wanakatika mauno,na soukus,na ndombolo.kwa mtazamo wangu,naona Congo ndo nchi pekee Africa ,ambayo Ina raia wasiojitambua kabisaaa, mpaka vi nchi vidogo vidogo Kama Rwanda vinaichezesha kwata Congo ,na ukubwa wote ule wa Congo,maajabu sana.thus why nasema Ni nchi pekee Africa ,yenye raia wasiojitambua kabisaaa.
 
Hongera kwa wewe unayejua
Daaaaa!!yaani mgogoro wa DRC, uulinganishe eti na HAND SHAKE, ya kenya na muafaka wa zanzibar?!!hauko serious mkuu!!kwani kutoa mchango wako redioni, ni kipimo kuwa unajua, mala ngapi mijadala hiyo, huwa ina kuwa na watu wa ajabu ajabu, yaani toka mwanzo ni unazi tu, hakuna hoja!!tena nimekumbuka kuna anayejiita mchambuzi wa masuala ya siasa kupitia DW, kutokea mwanza, daa ni aibu, kwwnye uchaguzi wa USA, alivyokuwa anachambua aibu niliona mimi!!ila nahisi kama ni wewe vile??mchambuzi pekee wa mambo ya siasa TZ, ni GENERALI ULIMWENGU, tu!!mala ngapi kwwnye kipindi cha uchaguzi uliopita, kwenye hiyo mijadala mlikuwa mnaendeshwa na uwoga tupu??!
 
Ahsante kwa maoni mazuri
UGONJWA UNAO WATAFUNA WA CONGO,NI UBINAFSI NA HAWAPENDANI WAO KWA WAO...ndio maana wanauwana wao kwa wao kila siku.hakuna ambae anaweza kwenda kuwapatanisha,wangekuwa ni watu wa kupatanishika,wangekuwa walishapatanishwa kitambo tu,tangu enzi za mwal.jk hadi leo wanapatanishwa wanakubaliana leo,kesho wako msituni na mi AK47 wanawindana,utadhani panyabuku...
 
Rais Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo wa DRC amepata uenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), wakati nchini kwake bado kunawaka moto na ebola imerudi. Je, atayamudu matatizo ya Afrika nzima ikiwa kwake bado kugumu!? Wakongo msaidieni Rais Tshisekedi...
Wakongo hawana shida baina yao, they love each other, they love their country. Shida ni Paul Kagame na wenzake na wale mabeberu walionyofoa fuse kwenye ubongo wa kagame ili wamtumie kuvuruga kanda
 
Wakongo hawana shida baina yao, they love each other, they love their country. Shida ni Paul Kagame na wenzake na wale mabeberu walionyofoa fuse kwenye ubongo wa kagame ili wamtumie kuvuruga kanda
ukiniambia wanapendana unanidanganya.ubinafsi ni matokeo ya kutokuwa na upendo ,ndio homa inayowatafuna wa congo.mfano unanyumba yako kuubwa imesheheni Mali na watoto kibao ,na wajukuu pia wote mnaishi ndani ya hiyo boma.halafu Kuna jilani zako pembeni Wana vijumba vidogo vidogo,na watoto wawili watatu hv,then Hawa jirani zako ni wezi ,Mara waje wanyofoe milango ya boma yako,Mara wakwapue hazina zako.unashindwaje kuwaambia wanao na wajukuu zako wawashugulikie Hawa jilani zako wezi wajapo kupora boma yako??? mfano mwingine nenda kavamie boma ya wamasai uone watakacho kufanya...mfano mwingine kamuulize idd Amin zawadi aliyoipata kutoka kwa babu zetu na wajukuu wao ,pale alipotuma vijana wake kupora kagera,vijana walitoka mtwara,ruvuma,usukumani,dodoma huko,maeneo mbalimbali ya nchi,kukomboa kipande kidogo tu Cha aridhi ya kagera. UPENDO NA UMOJA,NDIO ULIOKUWA UNA WA DRIVE. Ukiniambia wacongo wanapendana unadanganya mkuu,ukiniambia wacongo sio wabinafsi unadanganya zaidi.
Wacongo wanatakiwa wa reform unit& solidarity,wa cherish upendo baina yao,wawe na uchungu kwelikweli kwa watoto wao na wajukuu zao na Mali zao.ni vichekesho kutegemea jilani kutoka mbali aje kuonyesha upendo kwa watoto wako na wajukuu wako,na Mali zako,wakati na wewe upo,na watoto wako wapo na wajukuu zako wapo,na Mali unazo.NI AIBU NA KUTOKUJIELEWA .
 
Umeeleza vizuri sana na inaonekana unawajua kwa undani
ukiniambia wanapendana unanidanganya.ubinafsi ni matokeo ya kutokuwa na upendo ,ndio homa inayowatafuna wa congo.mfano unanyumba yako kuubwa imesheheni Mali na watoto kibao ,na wajukuu pia wote mnaishi ndani ya hiyo boma.halafu Kuna jilani zako pembeni Wana vijumba vidogo vidogo,na watoto wawili watatu hv,then Hawa jirani zako ni wezi ,Mara waje wanyofoe milango ya boma yako,Mara wakwapue hazina zako.unashindwaje kuwaambia wanao na wajukuu zako wawashugulikie Hawa jilani zako wezi wajapo kupora boma yako??? mfano mwingine nenda kavamie boma ya wamasai uone watakacho kufanya...mfano mwingine kamuulize idd Amin zawadi aliyoipata kutoka kwa babu zetu na wajukuu wao ,pale alipotuma vijana wake kupora kagera,vijana walitoka mtwara,ruvuma,usukumani,dodoma huko,maeneo mbalimbali ya nchi,kukomboa kipande kidogo tu Cha aridhi ya kagera. UPENDO NA UMOJA,NDIO ULIOKUWA UNA WA DRIVE. Ukiniambia wacongo wanapendana unadanganya mkuu,ukiniambia wacongo sio wabinafsi unadanganya zaidi.
Wacongo wanatakiwa wa reform unit& solidarity,wa cherish upendo baina yao,wawe na uchungu kwelikweli kwa watoto wao na wajukuu zao na Mali zao.ni vichekesho kutegemea jilani kutoka mbali aje kuonyesha upendo kwa watoto wako na wajukuu wako,na Mali zako,wakati na wewe upo,na watoto wako wapo na wajukuu zako wapo,na Mali unazo.NI AIBU NA KUTOKUJIELEWA .
 
UGONJWA UNAO WATAFUNA WA CONGO,NI UBINAFSI NA HAWAPENDANI WAO KWA WAO...ndio maana wanauwana wao kwa wao kila siku.hakuna ambae anaweza kwenda kuwapatanisha, wangekuwa ni watu wa kupatanishika,wangekuwa walishapatanishwa kitambo tu,tangu enzi za mwal.jk hadi leo wanapatanishwa wanakubaliana leo,kesho wako msituni na mi AK47 wanawindana,utadhani panyabuku.

Halafu vijana wao wanakatika mauno,na soukus,na ndombolo.kwa mtazamo wangu,naona Congo ndo nchi pekee Africa ,ambayo Ina raia wasiojitambua kabisaaa, mpaka vi nchi vidogo vidogo Kama Rwanda vinaichezesha kwata Congo ,na ukubwa wote ule wa Congo,maajabu sana.thus why nasema Ni nchi pekee Africa ,yenye raia wasiojitambua kabisaaa.
Wala hujui ulisemalo kuhusu mgogoro wa DRC, wala wao hawana mgogoro wa ndani kwa ndani, ndio maana unaona vita ipo sana sana sehemu moja tu ya nchi, mashariki ya congo, ambako ni mpaka wa congo na nchi za uganda na Rwanda.shida kubwa ya congo kwanza ni uongozi mbovu, ndio unapelekea hao maadui kutoka nje, kuweza kuingia na kufanya hayo wanayofanya, na umoja wa mataifa bado haujaamua kuisaidia ipasavyo , kutokana na baadhi ya nchi za ulaya kufaidika na mgogoro huo.sasa mnapowalaumu wananchi wa congo eti wanakaa na kucheza ndombolo, hawajitambui sio kweli.ndio maana kwa sasa matumaini pekee waliyonayo ni kwa huyu rais mpya tshekedi, kama ataweza kuyaondoa mabaki ya joseph kabila , kwenye utawala, anaweza jaribu kuonyesha tofauti.
 
Kama hawana shida wao kwa wao,nikuulize nguvu wanazo,Mali wanazo,watoto wanao ,vijukuu na vitukuu wanavyo,kwa population ni wengi Sana kuliko hata ukichukua Rwanda ujumlishe na Uganda,ujumlishe na Burundi,bado population ya Congo Ni kubwa,haya jeshi wanalo Tena kubwa,haya silaha wanazo Tena zakutosha. SWALI wanaahindwaje kulinda nchi yao???? Kama sio usaliti baina yao unawatafunaaaa!!!!!!???? Jibu maswali yangu .ss tz tulipigana vita na idd Amin kwa migambo kwa kiasi kikubwa,mtu anafundishwa kuipigana vita siku 5 tu,ya sita yuko msituni kupigania nchi yake,na tukamshinda amini.sasa kwa wacongo nn shida??????@ white wizard.
 
Wala hujui ulisemalo kuhusu mgogoro wa DRC, wala wao hawana mgogoro wa ndani kwa ndani, ndio maana unaona vita ipo sana sana sehemu moja tu ya nchi, mashariki ya congo, ambako ni mpaka wa congo na nchi za uganda na Rwanda.shida kubwa ya congo kwanza ni uongozi mbovu, ndio unapelekea hao maadui kutoka nje, kuweza kuingia na kufanya hayo wanayofanya, na umoja wa mataifa bado haujaamua kuisaidia ipasavyo , kutokana na baadhi ya nchi za ulaya kufaidika na mgogoro huo.sasa mnapowalaumu wananchi wa congo eti wanakaa na kucheza ndombolo, hawajitambui sio kweli.ndio maana kwa sasa matumaini pekee waliyonayo ni kwa huyu rais mpya tshekedi, kama ataweza kuyaondoa mabaki ya joseph kabila , kwenye utawala, anaweza jaribu kuonyesha tofauti.
nimekuuliza hapo chini nijibu
 
bamesoma ujumbe wako ila banaona unamadharau wakati banchi yenu ipo bauchumi wa kati chini kabisa.

batukome kabisa.
Pambafu.
 
nimekuuliza hapo chini nijibu
Inshu sio population kuwa kubwa, ingekuwa hivyo, israel walivyo wachache, wasingekuwa wanawasumbua waarabu kiasi hicho!!bali ni uongozi makini, kinatoka chuma, kinaingia chuma!!Mimi nimeisha sana DRC, ninapokwambia hakuna uongozi, namanisha, kule hata hao wanajeshi achana na kutokuwa na silaha bora, mishahara tu kwao ni inshu!!na bila msaada wa jeshi la umoja wa africa na wale wa UN, (Japo hili la UN ni kama msaada wao ni mdogo sana)mfano hadi kabla ya mzozo huu wa juzi baina ya kambi mbili, ya kabila na tshekedi, waziri wa ulinzi alikuwa ni kutoka team kabila, na alichokuwa anakifanya kwenye ulinzi ni aibu, ili rais wa sasa ashindwe!!n wanaofaidika na migogoro hiyo ni viongozi, yaani maisha ya polis na wanajeshi wa congo ni ya kuhurumia, tu ana miaka mitatu hajalipwa mshahara, na yeye ajue anakulaje?ndio maana akukute na kosa ndipo anapojilipa!!na kwa DRC , wananchi pesa wanayo sana tatizo lipo serikalini klhakuna pesa kwani nyingi zinaishia kwa viongozi huku chini!!
 
Back
Top Bottom