Lusajo11
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 1,887
- 1,970
ni ujinga zaidi mwanamke yoyote kumpa mwili wako mwanaume yoyote ambae sio mume wako
Huu ndio ukweli
ni ujinga zaidi mwanamke yoyote kumpa mwili wako mwanaume yoyote ambae sio mume wako
aya tuacheni basiAkili zenu wanawake bhana, mnazijua wenyewe.Wengi wenu u single maza mmeuchagua wenyewe.
ni ujinga uliopitilizaSingle mothers wengi hufanya hivo kutokana pengine chanzo cha kuvunjika hayo mahusiano ni yeye. Kwa mwanamke anayejitambua hawezi kukubali kulala kwa kificho na mwanaume ambaye ni mzazi mwenzake. Pengine hajielewi na kwa kupunguza maumivu ya majuto anaona atumike tu ovyo na huyo mzazi mwenzake.
NB: Thamani yako ni wewe mwenyewe waifahamu
Tusaidie tutumie lipi dada...Hivi hamnaga neno lingine la kutumia badala ya "kazalishwa au nimemzalisha" sijui huwa nalionaje hili neno.
Single mothers wengi hufanya hivo kutokana pengine chanzo cha kuvunjika hayo mahusiano ni yeye. Kwa mwanamke anayejitambua hawezi kukubali kulala kwa kificho na mwanaume ambaye ni mzazi mwenzake. Pengine hajielewi na kwa kupunguza maumivu ya majuto anaona atumike tu ovyo na huyo mzazi mwenzake.
NB: Thamani yako ni wewe mwenyewe waifahamu
Misstrace mungu wa wanaume anakuona.

Sio single mothers tu, mwanamke yoyote kumvulia nguo mwanaume aliyekuacha kaenda kwa mwanamke mwingine ni ujinga, unafanya udharaulike, ifike kipindi mtu utambue mwili wako unathamani kubwa sana.

Kwani Nalendwa haujui.Yaani wewe!, na wewe Mungu wa wote anakuona.![]()
Kwani Nalendwa haujui.
Simba kumla swala ni habari ila swala kumla simba ni habari ya kusisimua?
Haha haha...![]()
![]()
![]()
Haya bhana. Si unajua huwa hushindwi.
Haya buana.. ukimaliza kuoga vaa nguo nakuja basi maana hapo kwa avatar naona unaoga![]()
![]()
![]()
Shauriyo mie simo.
Acha roho mbaya wewe....My dear sisters msimsikilize huyu atawakosesha mambo matamu.ni ujinga zaidi mwanamke yoyote kumpa mwili wako mwanaume yoyote ambae sio mume wako
Haya buana.. ukimaliza kuoga vaa nguo nakuja basi maana hapo kwa avatar naona unaoga
