Agent-47
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 783
- 2,780
Bibi yangu
Huku Mtaani Kuna hasira inafuka sijawai kusikia wala kuona.
Siku hiyo ya 9 December sidhani kama kuna polisi, jeshi au nguvu yoyote itaweza kuzima hasira walizonazo watu wa mtaani huku. Swali inabidi kujiuliza siyo je watatoka?
Swali ni je itakuwa mbaya kiasi gani?
Itakuwa mbaya saaana. Wapo wanaodai maiti zao, wapo wanao omboleza vifo vya ndugu zao uliowaua, wapo wasiopenda tabia zako za rushwa, wapo wasiopenda utekaji unafanya, wapo wanopinga wewe kujiapisha kwa kupora urais. Itakuwa mbaaaaya.
Ushauri wangu: Beba kile unaweza, jaribu kufuta ushaidi wa mambo flani flani, kisha ondoka na achana na hii mambo ya Urais.
Jirani yako