Ushauri wangu kwa Rais Samia

Ushauri wangu kwa Rais Samia

Hii post ina contradiction kitaalamu ni bandwagon fallacy. Kama kweli mnataka kumtoa Samia kwa nini unamtahadharisha AONDOKE?

Nadhani kama hamumtaki nanmna uwezo wa kuntoa, jambo linalotakiwa ni kumkamata na siyo kumwambia afungashe aondoke.

You are deliberately being obtuse. Kumshauri aondoke na kutaka kumtoa are tow things of the same coin. The outcome is simalar.
 
maneno ya mtandaoni tu haya, hakuna kitakacho tokea hiyo tarehe 9, raia wamejifunza na serikali imejifunza. sana sana kutakua na maandamano uchwara mjini ili kujiridhisha tu.
 
You are deliberately being obtuse. Kumshauri aondoke na kutaka kumtoa are tow things of the same coin. The outcome is simalar.
Kwanini umshauri? Ili upate nini?? Mtu kagombea kuongoza 2025-30 hata mwezi mmoja hajamaliza, eti unamshauri aondoke? Stupid

If you can, just get rid of her!! Siyo kutuletea ngonjera hapa
 
Kwanini umshauri? Ili upate nini?? Mtu kagombea kuongoza 2025-30 hata mwezi mmoja hajamaliza, eti unamshauri aondoke? Stupid

If you can, just get rid of her!! Siyo kutuletea ngonjera hapa

Haueleweki. You must be having an awful day.
 
Back
Top Bottom