macson3
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,134
- 1,231
Wanajua walifanya makusudi ili mabwana zao kina Pompeo waongee,haya maswali yako ni magumu sana hawawezi kuyajibu mkuu.Hivi walioenda kuwapokea akina Mdee,Bulaya,Matiko siku ya kwanza nao walipigwa? Au hakuna aliyeenda?
macson