Natoa ushauri wangu wa bure kwa Lemutuz aache kabisa kutoka na watoto maana leo kadhalilishwa mpaka tumeona tusivyotakiwa kuona.
Please oa kabisa, sidhani kama angekua mkeo angefanya kitendo hicho. Laana ya zinaa ndo hiyo unabaki kudhalilishwa na wajukuu halafu ndo wamemrushia hasimu wako kipele kikapata mkunaji.
Hizi simu hizi hazitawaacha watu salama, tatizo lingine ni huyu lemutuz kujifanya fyatu na hamnazo muda wote matokeo yake ndio haya, nikiangalia vitu anavyovifanya kwa sasa najiuliza wakati wake alikuwa wapi.
Ila kwanini baadh ya wadada hamuwafichii wanaume wenu siri ..mambo mengine ni ya chumbani tu..sasa unaweza kuona aina ya mwanamke alie date naye siku hiyo halaf unategemea atakuja kuolewa hata Mungu anaona unamuomba kwamba uolewe upate mume lakini nyuma ya pazia umevujisha picha za uchi za mpenzio sasa maombi gani hayo yatafika kwa Mungu?
Huyo mdada itakua ni wale wanaouza nanihi zao
pia na huyu baba kwakweli matokeo ya kujidai kwenye media kupiga picha na wanawake ovyo.ovyo matokeo yake ndo haya angetafuta mzee mwenzake mmoja watulie wale pensheni tu .