Pesa haziokotwi,brother kwa ubahili wako kwenye pesa mbele ya mademu aisee nakukubali (reffering to story ya Mimi na boss wangu). Huyu deeppond ana la kujifunza toka kwako ahahah
Sure sure man.Very true yanPesa haziokotwi,
zinatafutwa kiume
[emoji23][emoji23][emoji106]
Ukishakuwa na pesa zinazoweza kumudu mahitaji yako muhimu yote na ziada kubwa ikabaki ndio utajua anachokifanya jamaa.Hizo huwa ni story tuu kuchangamsha genge hakuna mwanaume mpumbavu vile. Tena aliyeoa na anasema anampenda mke wake
Uko sahihi mtani.Ukiona ID yako haina Mvuto kwa Members wa JamiiForums na wala haina Jipya la kukufanya uwe Maarufu kama Wengine njia mbadala ni kuja tu na ID nyingine ili ujipakulie Minyama ( Ujisifie ) Kimtindo kusudi iweze Kujulikana Kiurahisi na kwa haraka.
😄😄😄 Hapa lazima kuwe na Lugha gongana..Eti waraka...wa Hamani?
National Anthem