Ushauri wangu kwa DeepPond

Ushauri wangu kwa DeepPond

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
798
Reaction score
2,316
DeepPond

Natumain u mwema bro. Kwanza ningependa kukupa hongera ya mafanikio yako katika jitihada zako za kiuchumi.
Pia ningependa kukupa hongera kwa moyo wako mwepesi na uelewa.

According to your posts, tumeona ni jinsi gani unavyopambana na harakati za side chicks (michepuko). Sio jambo la kustajaabisha kwa maana wanaume wengi wana side chicks angali wapo kwenye ndoa.

Aim yangu ni kukufaidisha wewe kiushauri kama unavyofaidisha na kuburudisha wengi na posts zako, ili baadae mambo yasije kukuharibikia angali bado watu wanafaidi posts zako ila wewe ukiwa down.

UNA HURUMA SANA NA MICHEPUKO YAKO.
Katika posts zako unaonesha ni jinsi ulivyo flexible na whole heartedly na hawa wadada.
Sawa naelewa unafaidi sex kutoka kwao so na wewe una paswa ku-give something return.

Remember give something in return not paying homage. Kwa maana ya kwamba haupaswi kumuonesha huyu mtu unaweza kuumpa zaidi ya kile kidogo kwa sababu ya kukupa sex.

Kwanini umrekebishie nyumba mchepuko, kwanini umrekebishie gari mchepuko. Kumbuka huyu ni kahaba, kwa maaana mara nyingi ananjua una mke, na pia kumbuka hayupo kwako tu na mara nyingi atajifanyisha na kujiurumisha kukuonesha kuwa yeye ni zaidi ya 10,000 au 15,000 unayo mpa after sex.

MICHEPUKO YAKO INAMFAHAMU MKE WAKO NA WALA HAUONI JAU.
Hawa ni makahaba kaka, ndio maana akaamua kuingilia ndoa, hawa ni wahuni kaka ndio maana akaamua kwenda kinyume nyume ili afaidi kama yule main chick.

Combination ya mtu kahaba na mhuni ni hatari kwa baadae. Siku mwana mama huyu akicharuka anaweza akaharibu ndoa yako kwa njia ya makusudi lakini wewe usije ukajua kabisa ukadhani ni kwa bahati mbaya

Mazoea unayotengeneza kwao yatawafanya wakuzoee then watengeneze wivu. Kitakachofatia ni fitina na ushirikina juu ya ndoa yako.

MCHEPUKO ARIDHIKI TU NA PESA YAKO ATAKUSAKA TU ZAIDI NA ZAIDI YA PESA YAKO.
Hivi mwanamke anaona jibaba unamwagia pesa hadi amefikia stage ya kupaua nyumba, then anaangalia mabraza duu wengine alionao wana njaa, unafikiri atakuacha upite kando au unafikiri atakuacha ili uishi nae kisera, hapana kaka, watatafuta tu njia ili akuingie kwa namna ya wewe kumuona yeye ni zaidi ya mchepuko.


UMESHAANZA KUZOEA NA KUNOGEWA HADI UNAFIKIRIA KUOA AU KUMZALISHA MCHEPUKO.
Kaka pussy is power, mwanamke ni mwenye nguvu zaidi unavyojua.

-Delilah
-Wake za Solomon

All these brought down the most strongest and wisest men in the world.

Kosa kubwa utakalo kuja kufanya ni kuzaa na hawa michepuko. Kosa kubwa Utakalo kuja kufanya ni kumfanya hata mmoja wao mke wako. Sasa hapo ndipo utajuta kuzaliwa.

Utakuwa umempa kahaba mamlaka, utakuwa umemuwachia fisi bucha.

MAZOEA YA MICHEPUKO JUU YAKO NI YA KIJINGA KWELI.
Mfano yule mshona nguo anakuja hadi dukani kwako, aya huyu mwingine anamtukana hadi mke wako. Hivi ni vitu wewe unaona vya kawaida ila wanaunda bomu kubwa sana baade.


NGUVU YAKO KIPESA ISIKUSAULISHE UKAONA UNAWAMUDU, NO BROTHER UNAWAFAIDISHA SANA, NO BROTHER UNAPUNGUZA WEALTH.
Labda sex is your favourite game, lakini fikiria how much you would have invested if usingezama sana ndani na hawa michepuko.
 
Acha jamaa ale maisha aliyochagua. Unataka akose cha kusimulia wajukuu
 
Mimi huwa ninaaamini ni fiction tu. Stori za kufikirika huzitunga
Hata mie naamini ni fiction , maana katika hali ya kawaida mama j , anahitaji mwanaume malaika kuishi naye.
 
Mimi nasubiri comments za michepuko ije kutetea.
Sio michepuko yake lakini wapo wanaishi maisha hayo na life linasonga.
 
Back
Top Bottom