😬😬😬😬😬 Na wewe usikute ni kabinti ka 14 years umeshika simu ya dada ume login jf 😄😄😄Sijawahi kuzisoma zaidi ya title tu nikizikuta kwenye timeline. Ukute ni katoto tu kapo kwa shemeji yake kanawachota akili nawe umeamua kumshauri🤣🤣🤣
Hizi id fake bwana!!!
Hahahahahah..yuko form 2 au sio[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] Na wewe usikute ni kabinti ka 14 years umeshika simu ya dada ume login jf [emoji1][emoji1][emoji1]
Tena form 2 C 😄😄Hahahahahah..yuko form 2 au sio
Duh its hard.Kwa wanaomfuatilia Deep Pond, wanajua kuwa mchepuko wake ushajitambulisha hadi kwa mkewe kufikia kuiyumbisha ndoa yake na jamaa aliweza kutoka kwenye huo mtego.
Pia toka mwanzo ,jamaa hataki kusikia ushauri kuwa aachane na mchepuko wake.Hilo hataki kulisikia badala yake anataka ushauri ni jinsi gani aendelee kulistawisha penzi lake kwa mchepuko.
AhhahaTena form 2 C [emoji1][emoji1]
🤣🤣🤣🤣🤣😬😬😬😬😬 Na wewe usikute ni kabinti ka 14 years umeshika simu ya dada ume login jf 😄😄😄
Hakajui hata dhambi za matusi 😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
Kabinti kabichiiiii kabisa..
Sawa kahaba mwenzanguYani unampenda kwa dhati sio kwa wivu na huruma hii jamani[emoji849][emoji849]jiongeze na wewe uwe mchepuko wake