MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Kwann haiwezekani mkuuKwanini kwa walimu na siyo kwa ajira zote za serikali?
Hilo suala haliwezekani..
Ushauri wa bure hebu unapokuwa chuo usisome kwa ajili ya kutegemea kuajiriwa na serikali .."Jiajiri"
Kwa sababu mfumo huo hautozalisha walimu mahiri ila utakuwa unazalisha walimu watafuta ajira,bima na wasubir mafao (ambayo nayo itakuwa nguvu kuyapigia hesabu)Kwann haiwezekani mkuu
Si kweli mkuu wangu,,,Kwa sababu mfumo huo hautozalisha walimu mahiri ila utakuwa unazalisha walimu watafuta ajira,bima na wasubir mafao (ambayo nayo itakuwa nguvu kuyapigia hesabu)
Elezea mfumo upi huo (Isije kuwa huu wa mkoloni)...๐ค๐คSi kweli mkuu wangu,,,
Kwan mfumo wa ajira ndiyo una zalisha walimu competent???
Umahiri wa walimu unategemea vitu vingi sana hasa unategemea uwepo wa relevant and currently curriculum katika vyuo wanavyo pikwa hao walimu na jinsi Wananvyo patikanaElezea mfumo upi huo (Isije kuwa huu wa mkoloni)...๐ค๐ค
Unaweza kunipa mifano ya nchi mbili zinazofanya hivyo?Umeongelea kada ya ualimu tu,kwa nini usijiulize wanasheria wao wanaajiriwa wapi?Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA.
Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv;
๐๐๐Mwalimu aajiriwe kwa mkataba wa miaka kumi tu baada ya apo mkataba wake uishe nafasi yake ichukuliwe na mwalimu mwingine ambae bado ni non employed๐๐
FAIDA YA KUWA NA HUU MFUMO
01. Itasaidia kupunguza tatizo la ajira
02. Itaongeza nidhamu ya pesa kwa walimu walio ndani ya ajira, kwan, mwalimu atawekeza PESA yake ya mshahara kwa nidhamu akitambua ajira yake ni ya muda
๐๐๐ Zaidi ya yote Ikiwa serikali yangu itafata huu mfumo sharti ni moja iongezee na kupandisha mishahara kwa walimu ili ndani ya miaka kumi ya utumishi wao watoke angalau na kitu kitakacho wainua๐๐
Karibuni kwa mawazo yenu wakuu wangu.
Ni mawazo Yangu mkuu,Unaweza kunipa mifano ya nchi mbili zinazofanya hivyo?Umeongelea kada ya ualimu tu,kwa nini usijiulize wanasheria wao wanaajiriwa wapi?
Nikushauri kitu,ajira ya ualimu haiko Kama tunavyofikiria!Mengi yanahusika!Kama wewe ni mwalimu kwanza usikubali kukaa nyumbani kisa serikali haitoi ajira!Ualimu ni zaidi ya kuajiriwa kufundisha!Kama wewe ni mwalimu wa masomo ya sayansi nenda kwa mkurugenzi yeyote muombe kujitolea kwenye shule zilizo chini yake utakuja kunishukuru baadaeNi mawazo Yangu mkuu,
Na sikila kinacho fanyika TANZANIA lazima kifanyike taifa lingine,
Pamoja mkuuNikushauri kitu,ajira ya ualimu haiko Kama tunavyofikiria!Mengi yanahusika!Kama wewe ni mwalimu kwanza usikubali kukaa nyumbani kisa serikali haitoi ajira!Ualimu ni zaidi ya kuajiriwa kufundisha!Kama wewe ni mwalimu wa masomo ya sayansi nenda kwa mkurugenzi yeyote muombe kujitolea kwenye shule zilizo chini yake utakuja kunishukuru baadae
Usingemuita huyu hana jema na Walimumpwayungu village unazungumziaje hili?
1. Ni kwa namna gani itapunguza tatizo la ajira?Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA.
Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv;
[emoji419][emoji419][emoji419]Mwalimu aajiriwe kwa mkataba wa miaka kumi tu baada ya apo mkataba wake uishe nafasi yake ichukuliwe na mwalimu mwingine ambae bado ni non employed[emoji419][emoji419]
FAIDA YA KUWA NA HUU MFUMO
01. Itasaidia kupunguza tatizo la ajira
02. Itaongeza nidhamu ya pesa kwa walimu walio ndani ya ajira, kwan, mwalimu atawekeza PESA yake ya mshahara kwa nidhamu akitambua ajira yake ni ya muda
[emoji419][emoji419][emoji419] Zaidi ya yote Ikiwa serikali yangu itafata huu mfumo sharti ni moja iongezee na kupandisha mishahara kwa walimu ili ndani ya miaka kumi ya utumishi wao watoke angalau na kitu kitakacho wainua[emoji419][emoji419]
Karibuni kwa mawazo yenu wakuu wangu.