fesee
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 803
- 697
kwa sasa watuvumilie kidogo hela iende kwa wauguziWaacheeni walimu jamani,huu ndio muda wao nao wafaidi maana madai yao huwa hayasikilizwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahau, maisha yako!
Ushauri wa kipumbavu kuwahi kutolewa dunianiKutokana na hari iliyopo duniani kwa sasa ni dhahiri tumeona umuhimu wa wauguzi wa sekta ya afya na pia ni watu wanaohitajika kulindwa na kutunzwa kwa hari yoyote ile ili wasiwe na manung'uniko na wanachokifanya.
Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.
Pia ugonjwa huu ukiisha na waalimu wakirudi katika shughuli za kikazi ndio walejeshewe mshahara wao wa mwanzo na wauguzi warudi katika kiasi walichokuwa wanalipwa sasa.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu tumia lugha ya stahaKmmko
Na mwalimu mwakasege nae akatwe mshahara wake au unamaanisha waalim gani dog koko weweKutokana na hari iliyopo duniani kwa sasa ni dhahiri tumeona umuhimu wa wauguzi wa sekta ya afya na pia ni watu wanaohitajika kulindwa na kutunzwa kwa hari yoyote ile ili wasiwe na manung'uniko na wanachokifanya.
Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.
Pia ugonjwa huu ukiisha na waalimu wakirudi katika shughuli za kikazi ndio walejeshewe mshahara wao wa mwanzo na wauguzi warudi katika kiasi walichokuwa wanalipwa sasa.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Waacheeni walimu jamani,huu ndio muda wao nao wafaidi maana madai yao huwa hayasikilizwi
Sent using Jamii Forums mobile app
samahan mwalimu wa kiswahiliKwa hiyo hao waalimu utawalisha pamoja na familia zao?? Na unajua mishahara ya waalimu iko vipi na kwa nini wakatwe wao na si vinginevyo? Na kwa nn wauguzi waongezewe wakati ni kazi yao halali kutoa tiba.....
Hujui kipindi cha majanga kuna mfuko serikalini wa mambo ya dharula kama majanga
Pia WHO imetoa zaidi ya USD 500m kwa nchi wanachama kukabiliana na kanga hili.
Punguzeni mada zenye mlengo wa kuona kundi fulani halina haki ya kuishi na kufurahia maisha, ni upumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app