- Thread starter
- #21
Una mpango wa kulipa deni kabla hujaAjiriwa!? Yani ufanye ujasiriamali ulipe bodi!? Ushawahi fanya biashara yako au ya mtu!?Mimi siogopi utapeli taratibu zinazingatiwa. Bei ni nzuri sana ila nikizingatia bumu ni "mkopo" sina mpango wa kununua shamba ambalo sidhani kama litakuwa productive within miaka mitatu mbele kuweza kufidia deni, running costs na kunipa matumizi
Mimi nilikuwa nauza mitumba ilala ya mjomba na mwaka wa kwanza nlikuwa na milion kwa mana semista y kwanza yote sikupata hata mia. Ile hela (1m) nlkuwa na mawazo mkuu ya kununue kiwanja kigamboni au chanika MARA nkpat mawaz y biashar yangu, huko ndiko ilpotea laki 6 n kubak 4. Ukiniambia biashara ntawaza muda, ntafkir commitment y fedha, uzoef, selective y ain y biashara na eneo husika. Anyway kila mtu n mtazamo wake Lengo kujenga siyo kubomoa