Ushauri wako wa muhimu kwangu

Ushauri wako wa muhimu kwangu

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,206
Reaction score
27,987
Habari za krismas wanandugu jf.
Kama ilivyo ada mdogo wenu nipo kwenye harakati za kuijenga kesho, nahitaji wajuzi wa kuniangaza zaidi ya hapa nilipoishia kuona. Alhamdulillah mdogo wenu napata mkopo 100% na mwaka huu wa pili nimepanga kufanya jambo kwani nina saving ya 400k nliyoifanya mwaka wa kwanza. Nategemea kupata laki 7 mwezi huu kam bum hii inanipa nguvu ya kusema nitatoa laki 4 kuongezea kile kias cha mwanzo 400k+400k kuw 800k. Nina wazo la kumiliki ardhi (plot) na nimekagua baadhi ya maeneo kwa maelezo haya
1: vikindu kazole 20 futi kwa 30 ardhi inauzwa laki 5 na ni maeneo ambayo gari 2 kufika kariakoo(1000 Tu)
2:morogoro heka 200k
Kwa laki 8 heka nne maeneo hayo nashwishika ninunue mojawapo
Je, lipi ni bora zaidi 800k heka 4 morogoro? Au 35 kwa 50 kazole!?
Naombeni ushauri kwa man niko dilemma wakuu honmpo
 
Ardhi ni mali, chukua heka 4 bagamoyo upande miembe na minazi itakusaidia badae. Pia unaweza kuweka miradi ya kilimo na ufugaji.
 
Hongera sana dogo !mi japo sijajua hizo futi 20 kwa 30 ina ukubwa gani ila nakushauri chukua hizo ekari 3 or 4 za Bagamoyo hakikisha tu umefuata taratibu zote za umiliki ili usijejikuta umeuziwa sehemu waliyouziwa wenzio ama yenye mgogoro. Uwe na plan za kuendeleza kama kupanda miti ya matunda nk!yaani ardhi isikae idle.

Mimi Pamoja na boom langu lote enzi hizo sikuwahi kuwaza kama wewe aisee uko vizuri.
 
[emoji120][emoji120] shukrani mkuu kwa busara hii. Nna mpango wa kwenda na advocate mmoja namtoa hapa dar nampa 50k tukakague kisheria zaidi. Maisha yananiandaa kufanya hivyo maana sina namna nyingine ya kujiona nipo walau nusu ya salama katka ulimwengu huu wa maisha ya kisasa
 
Safi sana mdogo angu! Pambana hivo hivo. Natamani mdogo angu naye awe na mawazo kama haya maana naona anawaza ubishoo tu🤔
 
Safi sana mdogo angu! Pambana hivo hivo. Natamani mdogo angu naye awe na mawazo kama haya maana naona anawaza ubishoo tu[emoji848]
Simlaum akigrduet unamkonekti nmb tu.. Mm nngekuw na ndug kam wew nngeomb ushauri niganyeje niwaache mwak w kwanz wasomeee [emoji31]
 
Bumu nimepata mwaka huu ila sina mpango wowote kulitumia kununua kiwanja. Sina haraka hiyo kumiliki ardhi na kwangu sioni kama ni uwekezaji sahihi.

funzadume si unajua masuala ya viwanja? Weka neno hapa.
 
Kwann mkuu au unahis nini!!? Mi nna wakili mkuu naenda nae na mkataba wetu tena najua kilichokutisha ni bei..... Hilo ni shamba mzee ulizia hata moro utaambiwa
 
Mwaka w ngapi unasoma!?
 
Kwann mkuu au unahis nini!!? Mi nna wakili mkuu naenda nae na mkataba wetu tena najua kilichokutisha ni bei..... Hilo ni shamba mzee ulizia hata moro utaambiwa
Mimi siogopi utapeli taratibu zinazingatiwa. Bei ni nzuri sana ila nikizingatia bumu ni "mkopo" sina mpango wa kununua shamba ambalo sidhani kama litakuwa productive within miaka mitatu mbele kuweza kufidia deni, running costs na kunipa matumizi
 
Habari za krismas wanandugu jf.
Kama ilivyo ada mdogo wenu nipo kwenye harakati za kuijenga kesho, nahitaji wajuzi wa kuniangaza zaidi ya hapa nilipoishia kuona. Alhamdulillah mdogo wenu napata mkopo 100% na mwaka huu wa pili nimepanga kufanya jambo kwani nina saving ya 400k nliyoifanya mwaka wa kwanza. Nategemea kupata laki 7 mwezi huu kam bum hii inanipa nguvu ya kusema nitatoa laki 4 kuongezea kile kias cha mwanzo 400k+400k kuw 800k. Nina wazo la kumiliki ardhi (plot) na nimekagua baadhi ya maeneo kwa maelezo haya
1: vikindu kazole 20 futi kwa 30 ardhi inauzwa laki 5 na ni maeneo ambayo gari 2 kufika kariakoo(1000 Tu)
2:bagamoyo heka 200k
Kwa laki 8 heka nne maeneo hayo nashwishika ninunue mojawapo
Je, lipi ni bora zaidi 800k heka 4 bagamoyo!? Au 35 kwa 50 kazole!?
Naombeni ushauri kwa man niko dilemma wakuu honmpo
Kwa hizo bei unataka kupigwa dogo
 
Back
Top Bottom