Ushauri wako ni muhimu.

king kan

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,626
2,038
Aisee yani hapa hata sielewi hatima ya skuli ni vipi. Kwa ufupi nimeapply loan lakini naona hayo majina ya leo simo. Nimeshapanic tayari yaani najiuliza ntasoma vipi hii elimu ya chuo. Nilikuwa na ndoto ya kusoma Baf ya mzumbe ila nikaamua kujaza land management na valuation lakini naona mkopo sina. Ushauri wenu unahitajika maana nahisi ndoto za kusoma chuo zaweza kuwa zimefikia mwisho. Nimesikia bado majina mengine hayajatolewa ni kweli au ndo tujiandae kuwa wakulima maana tutashindwa kumanage maisha ya chuo.
 
usiogope ndugu yangu haya mambo yapo sana .. watu chuo huwa wanapata mkopo wiki sita ya wakati waanza masomo luck enough ni chuo cha serikali jambo la msingi na kushukuru mungu ni hiyo admission suala la mkopo unaweza ukafuatilia loan board na ukapata tu .. jitahidi kuanda nauli na hela ya matumizi kama uko nje ya dar chuo kikaribia kufunguliwa njoo kuna utaratibu wa kusettle haya mambo vyuoni usikate tamaa mapema hivyo safari bado sana kijana
pia kuna utaratibu wa kuappeal we usiogope kabisa muombe mungu wako utashinda
bodi wanaweza wakaongeza majina.
 
Aisee yani hapa hata sielewi hatima ya skuli ni vipi. Kwa ufupi nimeapply loan lakini naona hayo majina ya leo simo. Nimeshapanic tayari yaani najiuliza ntasoma vipi hii elimu ya chuo. Nilikuwa na ndoto ya kusoma Baf ya mzumbe ila nikaamua kujaza land management na valuation lakini naona mkopo sina. Ushauri wenu unahitajika maana nahisi ndoto za kusoma chuo zaweza kuwa zimefikia mwisho. Nimesikia bado majina mengine hayajatolewa ni kweli au ndo tujiandae kuwa wakulima maana tutashindwa kumanage maisha ya chuo.

Kuna appeal ambapo utajitetea kwa kutoa sababu za msingi. kuwa na amani
 
Lakini pia jaribu kuangalia kwa makini mfano mimi nimekuta wameniamisha chuo na kunilamba 4,032,500/=
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom