Hii ni ngumu kidogo, ila mkaushie kwa muda hivi then baadae mtafute kwa namba nyingine (isiwe yako) kama unataka simu.
Chukua wana nendeni mkamtaitishe sehemu kiume zaidi ili kupooza machungu, lakini kwa haki huwezi pata msaada.
Kwa vyombo vya Sheria kiukweli utapoteza muda,tu ningekuwa na roho mbaya ningekushauri ukawaminye mbupu Kwa mganga👺,ila kwakuwa imeandikwa samehe 70x7,basi tena ila umeibiwa kiboya sana mkuu.
Kwa vyombo vya Sheria kiukweli utapoteza muda,tu ningekuwa na roho mbaya ningekushauri ukawaminye mbupu Kwa mganga[emoji84],ila kwakuwa imeandikwa samehe 70x7,basi tena ila umeibiwa kiboya sana mkuu.