Sure the Boy
Member
- Aug 7, 2019
- 15
- 3
I meant Likizo mkuu japo nachojua Sio kama hujaelewa hapoRikizo ndio nini?
Ndo naingia mwaka wa pili, mkuu
Kubaki Main campus, uchumi ndo shida, ila nashukuru mkuu, na me lengo langu kuu ni kupata sehem ya kunipatia experience atleast..Ulipaswa uwe unajiongezea ujuzi kitaa,sio kusaka hela, ulipaswa uwe unajitolea pahala BURE kabisa, au la ungebaki hata hapo Main Campus ujifunze grafting na Budding hapo horticulture Unit.
Tafuta ujuzi na uzoefu kwqnza, achana na kusaka mchongo wa hela...kajitolee, ukiwa na ujuzi, sasa saka mchongo.
Mkuu me sisom language, alaf hzo ni spelling error mbonaUnaandika rikizo badala ya likizo? halafu ni chuo?....hamna connection hapa
tutakuweka wapi sasa
Ukirekebishw rekebika acha kujichalengisha unaendelea kuonekan hewa.Mkuu me sisom language, alaf hzo ni spelling error mbona
Ahahahahah haya bhanaKAMA UNATAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI
BAHATI NZURI UMESOMEA CHUO CHA KILIMO
Typing error ndg yanguUpo chuo, kuandika hujui
KAZI KWAKOAhahahahah haya bhana