Ushauri wako ni muhimu kwa hili

Sure the Boy

Member
Aug 7, 2019
15
3
Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu gan ambacho walau kinaweza kuwa kinanipatia hela hata za matumiz madg madg, au hata experience kwa kipind hiki cha Likizo.
 
Ulipaswa uwe unajiongezea ujuzi kitaa,sio kusaka hela, ulipaswa uwe unajitolea pahala BURE kabisa, au la ungebaki hata hapo Main Campus ujifunze grafting na Budding hapo horticulture Unit.

Tafuta ujuzi na uzoefu kwqnza, achana na kusaka mchongo wa hela...kajitolee, ukiwa na ujuzi, sasa saka mchongo.
Ndo naingia mwaka wa pili, mkuu
 
Ulipaswa uwe unajiongezea ujuzi kitaa,sio kusaka hela, ulipaswa uwe unajitolea pahala BURE kabisa, au la ungebaki hata hapo Main Campus ujifunze grafting na Budding hapo horticulture Unit.

Tafuta ujuzi na uzoefu kwqnza, achana na kusaka mchongo wa hela...kajitolee, ukiwa na ujuzi, sasa saka mchongo.
Kubaki Main campus, uchumi ndo shida, ila nashukuru mkuu, na me lengo langu kuu ni kupata sehem ya kunipatia experience atleast..
 
Hamna mkuu, unajua kuna mtu anaweza kuja na kauli ambayo unaona kabsa hapa lengo lake sio kusaidia bali tu ni kudscourage na kuidilute point yako ionekane haina maana hata kwa wengne.. Sasa hii hupelekea kubadilisha mtazamo wa wengne juu ya mada husika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom