Sure the Boy
Member
- Aug 7, 2019
- 15
- 3
Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu gan ambacho walau kinaweza kuwa kinanipatia hela hata za matumiz madg madg, au hata experience kwa kipind hiki cha Likizo.