USHAURI: Wakili Msomi Pascal Mayalla naomba Umjibu Lissu

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
4,562
11,152
Socrates aliwahi sema"Akili kubwa hujadili hoja, akili ya wastani hujadili matukio na akili ya chini kabisa hujadili watu".

Mjadala unaoendelea sasa nchini kuhusu muungano ni muhimu kwa maslahi ya taifa kwa sababu mjadala huu unahusu kada ya sheria, basi ni vema sisi ambao hatuna uelewa mpana kuhusu sheria kutoa fursa kwa manguli wa sheria kutoa Elimu ili kuondoa hii sitofahamu.

Binafsi napenda kuona mwandishi wa habari na wakili msomi Mzee Pasco Mayalla ajitokeza kumjibu Tundu Lissu. Maana kupitia kalamu yake Mzee Pasco Mayalla amekuwa mtetea maslahi makubwa ya taifa.

Nakuomba sana Mzee wangu pasco Mayalla
 
Kama Pasco anaunga mkono hoja za Lisu unataka amjibu nini?

Unadhani kuna Mtanganyika mwenye akili timamu anapinga hoja za Lisu?
 
Hakuna mtanzania yeyote mwenye akili kama Pascal Mayalla anaweza kupinga hoja za Lisu.
mbona Nape Mnauye anapinga, na kuna mwingine wa kule Zanzibar kaikana kauli yake kwamba hakusema wabongo waende Zenj kwa passport.
Huu Muungano ni kizungumkuti sana hata kwa wao wenyewe humo ndani ya ccm. Labda yatawakuta yale ya Nicolae Ceaușescu wa Romania kama alivyosema prof. Kabudi ndio watastuka:
View: https://youtu.be/vVrd__CvSkk?si=F4rVwE4uefJ4KgUE
 
mbona Nape Mnauye anapinga, na kuna mwingine wa kule Zanzibar kaikaka kauli yake kwamba hakusema wabongo waende Zenj kwa passport.
Huu Muungano ni kizungumkuti sana hata kwa wao wenyewe humo ndani ya ccm. Labda yatawakuta yale ya Nicolae Ceaușescu wa Romania kama alivyosema prof. Kabudi ndio watastuka:
View: https://youtu.be/vVrd__CvSkk?si=F4rVwE4uefJ4KgUE

Prof. Kabudi alipokuwa jalalani alikuwa na akili sana.
 
Socrates aliwahi sema"Akili kubwa hujadili hoja, akili ya wastani hujadili matukio na akili ya chini kabisa hujadili watu".

Mjadala unaoendelea sasa nchini kuhusu muungano ni muhimu kwa maslahi ya taifa kwa sababu mjadala huu unahusu kada ya sheria, basi ni vema sisi ambao hatuna uelewa mpana kuhusu sheria kutoa fursa kwa manguli wa sheria kutoa Elimu ili kuondoa hii sitofahamu.

Binafsi napenda kuona mwandishi wa habari na wakili msomi Mzee Pasco Mayalla ajitokeza kumjibu Tundu Lissu. Maana kupitia kalamu yake Mzee Pasco Mayalla amekuwa mtetea maslahi makubwa ya taifa.

Nakuomba sana Mzee wangu pasco Mayalla
Pascal Mayalla ajibu kisheria hoja ambayo haina majibu? Unadhani yeye ni mjinga?
 
Hoja za Lissu zinajibika kirahisi sana bila mtu yeyote kusema chochote isipokuwa kwa kuondoa sintofahamu iliyopo kwenye katiba zote mbili.

Mfano, kuondoa Sintofahamu zifuatazo:
1. Wazenji kumili ardhi Bara na wabongo kutomiliki Ardhi huko Zenj
2. Ubaguzi wa wazi kwenye katiba ya Zanzibar kuhusu mambo mengi haswa wanapotumia "awe ni mzanzibar..." na waseme tu awe ni Mtanzania... hii ni kasoro ndogo sana (Yenye huge implications)...drafting kwenye katiba ya Zenj inayoweza kubadirishwa kirahisi kwa kupitishwa na baraza lao la wawakilishi na mchapaji wa serikali yao kuichapisha upya.
3. Kurekebisha maneno Zanzibar ni nchi au sio nchi, kwa kuitambua Tanganyika kwenye katiba ya Zenz na kwa Tanganyika nao kuwa na katiba yao yenye kuitambua Zenj.

4. Usawa kwa watanzania wote

Mengine mutaongezea
 
Back
Top Bottom