Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 4,699
- 11,496
Socrates aliwahi sema"Akili kubwa hujadili hoja, akili ya wastani hujadili matukio na akili ya chini kabisa hujadili watu".
Mjadala unaoendelea sasa nchini kuhusu muungano ni muhimu kwa maslahi ya taifa kwa sababu mjadala huu unahusu kada ya sheria, basi ni vema sisi ambao hatuna uelewa mpana kuhusu sheria kutoa fursa kwa manguli wa sheria kutoa Elimu ili kuondoa hii sitofahamu.
Binafsi napenda kuona mwandishi wa habari na wakili msomi Mzee Pasco Mayalla ajitokeza kumjibu Tundu Lissu. Maana kupitia kalamu yake Mzee Pasco Mayalla amekuwa mtetea maslahi makubwa ya taifa.
Nakuomba sana Mzee wangu pasco Mayalla