Ushauri: Wafanyakazi kazini hawanipendi

Ushauri: Wafanyakazi kazini hawanipendi

Karibuni biriani jamani..endeleeni kumshauri ndugu mwalimu
 
Una nyota ya Jela wew, hao wenzako wanakupenda ndo mnana wanakutenga ila wanashindwa kukuambia. Jione bingwa tu kwa kupendwa na hao watot
Una mitazamo ya kingono,
Binafsi mtoa bana hajatanabahisha jinsi ya watot anaoongelea
 
nakumbuka primary kuna mwalimu alikuwa vizuri kuliko wote na tulikuwa tunampenda sana ikatokea siku akabadirishiwa masomo tukapinga sana.

alikuja akakaa na sisi akatuaminisha walimu wote ni sawa, sema tumemzoea yeye tu akatuhakikishia kutupa msaada pale tutakapo kwamba

ilikuwa ngumu mwanzoni ila baadae tukazoea na kuona ni kawaida (japo ukweli wale waalimu hawakuwa kiwango sawa na wewe)

shida yako ni moja yawezekana 100% uko vizuri, kuliko wao na unatumia muda mwingi kuwaaminisha wanafunzi uko vizuri kuliko mwalimu flani na flani hivyo kujenga dharau kwa waalimu hao (ambao nao wanaona ww ni adui yao)

cha kufanya: jenga tabia ya kushirikiana nao na kuwaonesha wanafunzi wote mu waalimu sawa na kwa nguvu ya pamoja mtafika
 
Kazini kwangu watumishi wenzangu hawanipendi kutokana na mimi kupendwa sana na wanafunzi kutokana na kuwafundisha vizuri na somo langu kufanya vizuri kuliko masomo mengine na wanafunzi hao kuonyesha kunipenda zaidi mimi kuliko wenzangu, sasa wenzangu wananitenga nifanyaje?
Duh, pole sana!! Sio suala la kuogopq hilo, lilipoti kwenye utawala baada ya hapo wapuuzie.
 
Chunga tu ucje ukamtongoza
Dem wa mwl mkuu maana
Kibarua kitaota nyas kama
Co kuhamishwa
 
Mwalimu anayefundisha vizuri huwa ni mtembeza fimbo na wanafunzi huwa wanampenda baada ya kumaliza shule na kufaulu.

Kama wewe unapendwa na wanafunzi na kuchukiwa na walimu nachelea kusema kuwa wewe ndio una matatizo binafsi.
Sio kweli, sisi shuleni kwetu kulikuwa na mwalimu wa sayansi alikuwa mkali huyo!!! Na alikuwa anachapa huyoooo! Lakini ndo alikuwa mwalimu wetu chaguo la kwanza, maana kwanza alikuwa anatufundisha vizuri, pili kukuadhibu mpaka ufanye uzembe kwenye somo lake yaani alikuwa ni mtu anayejua kusimamia kazi yake, mkiwa nje ya darasa ni rafiki yetu ila tukiwa darasani blah blah zote tunaziweka kando, alipofariki tulihuzunika maana yeye alikuwa akitutetea kwenye baadhi ya makosa, hakuwa mnoko alikuwa ni rafiki wa wanafunzi pia alikuwa anajua kumjenga mwanafunzi kisaikolojia tofauti na walimu wengine ambao wao walikuwa wakitaka sifa tu kutoka kwa mkuu wa shule

NB, NILICHOPINGA HAPA NI KAULI YAKO YA KUSEMA MWALIMU ANAPENDWA NA MWANAFUNZI BAADA YA MWANAFUNZI KUMALIZA SHULE
 
Ulitaka wakupende kwan wee hela... Live your life!
 
Kazini kwangu watumishi wenzangu hawanipendi kutokana na mimi kupendwa sana na wanafunzi kutokana na kuwafundisha vizuri na somo langu kufanya vizuri kuliko masomo mengine na wanafunzi hao kuonyesha kunipenda zaidi mimi kuliko wenzangu, sasa wenzangu wananitenga nifanyaje?
Endelea kula vchwa wabaki wanakodoa ivo ivoo
 
Sio kweli, sisi shuleni kwetu kulikuwa na mwalimu wa sayansi alikuwa mkali huyo!!! Na alikuwa anachapa huyoooo! Lakini ndo alikuwa mwalimu wetu chaguo la kwanza, maana kwanza alikuwa anatufundisha vizuri, pili kukuadhibu mpaka ufanye uzembe kwenye somo lake yaani alikuwa ni mtu anayejua kusimamia kazi yake, mkiwa nje ya darasa ni rafiki yetu ila tukiwa darasani blah blah zote tunaziweka kando, alipofariki tulihuzunika maana yeye alikuwa akitutetea kwenye baadhi ya makosa, hakuwa mnoko alikuwa ni rafiki wa wanafunzi pia alikuwa anajua kumjenga mwanafunzi kisaikolojia tofauti na walimu wengine ambao wao walikuwa wakitaka sifa tu kutoka kwa mkuu wa shule

NB, NILICHOPINGA HAPA NI KAULI YAKO YA KUSEMA MWALIMU ANAPENDWA NA MWANAFUNZI BAADA YA MWANAFUNZI KUMALIZA SHULE
Wazo letu ni moja mkuu labda ni jinsi tu uwasilishaji.

Pia nimempinga mleta mada kuwa anachkiwa na walimu wenzake wote kisa tu anafaulisha sana.

Kwa taarifa ni kwamba hakuna mwalimu mwenye taaluma ya ualimu duniani anayechukia kisa tu wanafunzi wamefaulu somo fulani la mwalimu mwingine la kwake wamefeli. Kama yupo basi anastahili arudi chuo akasome upya mbinu za kufundishia na kujifunzia.

Mwisho, walimu wapo kwa ajili ya kufaulisha wanafunzi na mtihani upo kwa ajili ya kufelisha wanafunzi.
 
kuwa makini kama kuna viujinga vyako acha kabisaa wasije wakawa hawataki kutoa ushahidi pindi ukiwa unaenda kumalizia maisha yako mikononiwa jamhuri.
 
Wazo letu ni moja mkuu labda ni jinsi tu uwasilishaji.

Pia nimempinga mleta mada kuwa anachkiwa na walimu wenzake wote kisa tu anafaulisha sana.

Kwa taarifa ni kwamba hakuna mwalimu mwenye taaluma ya ualimu duniani anayechukia kisa tu wanafunzi wamefaulu somo fulani la mwalimu mwingine la kwake wamefeli. Kama yupo basi anastahili arudi chuo akasome upya mbinu za kufundishia na kujifunzia.

Mwisho, walimu wapo kwa ajili ya kufaulisha wanafunzi na mtihani upo kwa ajili ya kufelisha wanafunzi.
Nmekuelewa mkuu
 
Kazini kwangu watumishi wenzangu hawanipendi kutokana na mimi kupendwa sana na wanafunzi kutokana na kuwafundisha vizuri na somo langu kufanya vizuri kuliko masomo mengine na wanafunzi hao kuonyesha kunipenda zaidi mimi kuliko wenzangu, sasa wenzangu wananitenga nifanyaje?

Ungesema shuleni na sio kazini, pia ungesema waalimu wenzangu na si wafanyakazi wenzangu.
 
We piga kazi, hizo chuki zao zisikupe shida, kilichokupeleka hapo ni kazi. Watakuzoea tu. Binadamu ndivyo tulivyo!!!!
 
Kazini kwangu watumishi wenzangu hawanipendi kutokana na mimi kupendwa sana na wanafunzi kutokana na kuwafundisha vizuri na somo langu kufanya vizuri kuliko masomo mengine na wanafunzi hao kuonyesha kunipenda zaidi mimi kuliko wenzangu, sasa wenzangu wananitenga nifanyaje?
Ulikwenda kufanya kazi peke yako,na utaondoka peke yako.
 
Back
Top Bottom