ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,936
- 3,054
Ukipata Ban Futa Official whatssap ya kutoka playstore, then install Gb whatssap na Yo whatssap .au install moja kati ya hizi mambo hayatasumbua niliwahi kula BAN lakini toka nimetumia ujanja huu asee sijapata ban. Ninachohisi hizi ban tunakula sababu ni kwamba hii offcial inatambua tumeweka unofficial whatssap .