Ushauri wa vijana kwa nchi yao

Ushauri wa vijana kwa nchi yao

nbayoungboy never broken

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2025
Posts
383
Reaction score
365
Mimi kama kijana mzalendo wa nchi yangu tanzania ningependelea mawazo tofauti tofauti kuishauri selikali yetu
Mfano
Ungekuwa rais wa tanzania ungeifanyia nini nchi kuiepusha kwenye kundi la nchi za africa 🌍 zisizo jitambua.????¿??

Kwa mimi binafsi
..Rushwa ni kunyongwa hadi kufa

..kilimo kiwe kipaumbele cha kwanza sababu ya rasilimali maji na maeneo ya rutuba kama moro na mbeya hii ni fursa coz inchi zote zinazotuzunguka zinanjaa

..jambo la dini ili uwe nabii au shehe uwe na shahada sababu kunaelimu wanazitoa inawafanya watu waonekane hamnazo

..hili swala la zanzibar na tanganyika ni unafiki kama haiwezekani kuwa inchi moja haina maana tunangalia masirah ya inchi kwanza

..mfumo wa elimu wa copy China 🇨🇳 huu wetu hauna manufaa

.. wazalishe na wasapoti vipaji hapa siko kusemea vipaji vya singeli na bongo madogo wenye uwezo wa kuzalisha technology kaibeni na nyinyi technology tusifate mukumbo wa nchi za africa kila mtu ashinde mechi zake wamefeli kuungana basi

..selikali zetu ziwe na agenda pana za nchi tumekua tunasikia wanajenga barabara ,hospital na elimu hadi tunataka kufa kila rais ndo agenda kuu wekezeni kwenye technology

..mwisho katika maisha ya mwanadam huu ukweli watu hawajui .
Binadamu hatufanani katika hakili
Kuna watu wanahakili kubwa sanaa
Vijana hawafatiliwi wanaishia kupotea na maisha ya mtaani ovyo.
Bila ya nchi kuwatafta hawa wasomi wetu akiangalia swali kwa macho anakupa jibu mshakalili mtu mwenye hakili lazima awe kiongozi .
 
Back
Top Bottom