The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
- Thread starter
- #41
Unajua ugumu wa kulea teenager Boss? Hakuna cha freedom wala nini; teenagers ni headache na mkiwa wawili inasaidia; mfano baba ni ngumu kumjua vyema binti yake. Kwa kweli sisi tulilelewa na Mungu; Hata baba anatusifu kwani hakuwa na uhakika kama ataweza kutulea salama.
wapo teenagers wengi wanalelewa na a single parent
na wanakuwa tu vizuri
mfano wako wewe ni kuwa wazazi walikuwa hawaongei
ndo maana nikasema'kuachana kwa wema' ni bora zaidi...