The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,072
Mbona siwaoni, hapa wapo Nyumba Kubwa tu na AshaDii wakati thread kama hizi inabidi wafunguke haswa kama ulivyosema Boss mfumo dume wanaousema ndio wanaishi chini ya kivuli hicho inakuwa ni vigumu kwa wao ku-divorce simply because anaona ile jamii inayomzunguka itaanza kumnyooshea kidole for what she has done ndio maana wengi wao wako tayari kuishi anapigwa ndani ya ndoa lakini ataendelea kuvumilia for the sake ya kulinda ndoani ishu kwa kuwa hawataki hata kuzungumza kuhusu divorce
wanajiangusha wenyewe,mijadala kama hii hawataki kabisa kushiriki
sheria zipo hawazijui.....wenzao haki sawa na kupiga vita mfumo dume
zinahusu mno masuala ya divorce.......wao wanaambiana tu 'vumilia'