Ushauri wa Shemeji Yangu

Haya, muendelezo upo hapa

Cc MUNDENDE
 
Hii stori nataka niijue mwisho wake nitag mkuu, kuna kitu nataka kujifunza hapa.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Yan unatuweka roho juu sie wapenda stor acha

Nateseka balaa
 
Jumanne nitag kuna mbuzi mmoja(ex wangu) kuna dalili za kupatwa na jua nayeye.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
So
So surprise ni kumuonesha umeoa, pili wewe ndo mnunuzi wa Mali zake?
Dunia hiiiiiii.....
Anyway aliyataka mwenyewe ila pia ni mpango wa Mungu may be msingefika popote.
Lucky, hivi umeolewa?
 
Nitag ukiendeleza thread
@LadyRed

 
Thanks mkuu, ulimmaliza vizuri sana. Sema na wife wako yuko open minded sana.

Big up!!
 
Natamani mtu aone hii comment na Haya maneno yamuingie akilini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…