Ushauri wa namna ya kuformat modem

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
987
Habari ya majukumu wana jamvi?
Nina modem ya TTCL ZTE zile ambazo zina line ya ndani (inbuilt line). Kwakuwa siitumii kwa zaidi ya mnusu mwaka, nami nikafikiri kuiformat ili niitumie kama thumb drive. Naomba kujulishwa nini nifanye ili niweze kuformat na kutumia kwa matumizi hayo.
 
Nafikiri hujanielewa nahitaji nini. Lakini pia umesahau hili si jukwaa la sisi la kupenda kuendekeza ligi za mabishano na kuandika unachojisikia. Heshimu mawazo ya wenzako. Huna jibu kaa kimya wako watu watakuja na hoja zenye majibu. Na kutokana na tatyizo langu, majibu yakawasaidia wengi.
 
Back
Top Bottom