Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
- Thread starter
- #21
Sasa kumpenda na kumthamini huku unamcheat, unamdanganya, unampiga, humshirikishi mambo yanayowahusu (anatoka kuoga anakuta mamako kaingia na sandarusi kuwatembelea!) And all that? Emotional connection ni muhimu, unaweza kudhani unamfurahisha kumbe unamkirihisha baba, am just saying!
I see you and I are in different worlds.na sitegemei kuna mtu ana access ya internet full time anaweza kuwa na mama anayesafiri kwa sandurusi unless kama unataka kuchafua hali ya hewa hapa. in fact ukisoma post yangu vizuri utagundua am not speaking to men of the character you have put here. naongea na rafiki ambao wanawapenda sana wake zao,wanapenda ile sanaaaaaaaa lakini tatizo wanaamini kwamba wanawake zao wanatakiwa kuridhika kwa sababu wanawapatia all materials on offer in this world kama ishara ya kipimo cha mapenzi yao kwao. Hawa ndio nawakumbusha kupiga kazi ya kiutu uzima nyumbani, wife akishindwa kuamka next day hiyo ni issue ingine, lakini nauhakika ikifika mchana atamtumia jamaa sms "Darling, Jana umeniweza unajua ndo naamka saa hizi, wahi basi kurudi nyumbani leo mpenzi wangu naenda sokoni muda si mrefu, ntakuandalia chakula kitamuuuuu" na sms isipojibiwa in two minutes unapigiwa simu sasa