Aaaah ukiyataka makosa ya kimaandishi toka kwangu mbona mengi tu..Wee endeleza ushabiki wako miye huko siko ila kuna wakati mkuu wangu unaucheza hadi unapitiliza kama Sunday Juma..Namshukuru Mungu miye sina chuki wala sikubaliani na uhasama wenu wa chama ila kuitakia kila la kheri jamii yangu ya Watanzania..Na maneo ya Mwenyekiti yamenigusa sana tofauti na JK anapozungumzia maswala kama haya..Mwaka huo uliouandika nakubaliana na wewe lakini 2015 ni ndoto chadema kuchukuwa nchi.
Zomba hana chuki na chadema au mwana chadema isipokuwa Zomba hakubalini na namna chadema wanavyoendesha siasa zao. Kwa mtazamo wangu, viongozi wa chadema wapo ki maslahi yao zaidi ya kutaka maslahi ya wengi. Mifano ni mingi tu, msome TUNTEMEKE.