mwalimu wako na wangu nadhani ni mwalimu mmoja.acha kula wanga kabisa na sukari kwa mwezi mzima mazoei kidogo tu sio yale ya kujichoshaaa, utanishukuru baadae.
mimi nilianza rasmi diet may 2021. kufikia October nikapungua 15kg. nipo na maintain nao. nilikuwa 104kg sasa 89kg. niataanza tena baadae.target 80kg
kula proten za wanyama kula mpaka ushibe(nyama aina zote mradi inaliwa na binadamu)
nuts za kwenye miti (korosho etc)
mayai
samaki kula mpaka ushibe
mboga za majani zinazoota juu(cabbage, mchicha, spinachi na nyinginezo) kula mpaka ushibe
boga
matunda ni parachichi na tango tu. usile yale yenye sukari sijui Maembe mananasi,
kunywa maji
mazoezi kidogo uwe fit please consistency ni muhimu
nakutakia mema
kwa upande wangu starehe kuu ni chuma!Thats great mkuu, watu wengi wanaona kupiga chuma ni kujitesa ila ukiwa consistent inafika muda chuma inakua ni starehe.
safi sanaNimeanza jogging sasa nna week moja! Kila jioni nakimbia 3.5 km! Sema mimi nafanya kujiweka tu fit, sina kitambi wala unene[emoji23][emoji23]!Huwa sili chips kabisa na vyakula vya mafuta, pia situmii soda, bia!! Ila mazoezi ukiyazoea inageuka furaha yako! Kama una mda fanya mazoezi!
Hapo kwenye kuacha chips sasa[emoji36][emoji36]Nimeanza jogging sasa nna week moja! Kila jioni nakimbia 3.5 km! Sema mimi nafanya kujiweka tu fit, sina kitambi wala unene[emoji23][emoji23]!Huwa sili chips kabisa na vyakula vya mafuta, pia situmii soda, bia!! Ila mazoezi ukiyazoea inageuka furaha yako! Kama una mda fanya mazoezi!
Daah me hadi wenzangu wananishangaa maana huwa situmii kabisa yani!Hapo kwenye kuacha chips sasa[emoji36][emoji36]
Pole sana ila bora umewai kabla haujanenepa kupitiliza.Kwa wale mnaoishi maisha ya gym na diet, vip mabadiliko ya miili mnayaona?? Tunaomben ushauri hapa mazoezi yapi tufanye, diet twende nayo vip, ili kupunguza kilo maana zimeongezeka kwa kasi.. [emoji18][emoji119]
Umetoa bonge la elimu. Pongezi kwa elimu ulompatia.Pole sana ila bora umewai kabla haujanenepa kupitiliza.
Kwenye swala la chakula
1. acha vitu vya sukari na matumizi ya sukari kabisa
Soft drinks achana nazo, beer, juice za viwandani nk
2.Acha kula wali, ikitokea umekula wali basi kheri ule mchana na sio usiku. Kama unapenda wali basi kula brown rice
3. Acha kula vitu vya kukaanga, chemsha au choma
4. Jitahidi ule masaa mawili kabla ya kulala.
5.Kunywa maji ya kutosha.
Kwenye swala la mazoezi mwezi kabla ya kuanza gym
1.Kabla ya kuanza gym, anza kwa kutembea angalau nusu saa kila siku
2. Ruka kamba at least dakika 15 kila siku
Hii itakusaidia hata ukiwa teari kwenda gym mwili unakuwa mwepesi kidogo, na mwili unakuwa ushazoea mazoezi kwaio uta enjoy.
Faida za kwenda gym
1. Kutoa pesa inauma, ukitoa pesa yako itakua inakuuma kukosa kwenda mazoezi, kwaio kile kitendo cha kuwa na uchungu kitakusaidia usi miss mazoezi na mwishowe utaona mabadiliko
2. Gym kuna watu wengi, yani uwezi fika wenzio wote wapo busy na mazoezi wewe una chat au umelala, kwaio utaona aibu
3. Competition, utakutana na watu wanaopambana kama wewe kupungua kwaio utajikuta unataka u compete nao na hivyo utaongeza jitihada
4. Inspiration, wana gym wataku inspire ufikie lengo lako
NB: Kuona mabadiliko binafsi inachukua mpaka week 3, utaanza kujiona umekuwa mwepesi, kuna nguo zilikua hazikutoshi zinaanza kukuenea, mashavu kupungua nk
Inachukua miezi 3 watu wengine kukuona kuwa umepungua, hivyo usikate tamaa ukiona kama watu hawakusifiii
kabisaUmetoa bonge la elimu. Pongezi kwa elimu ulompatia.
Nisilibe tuu
Mazoezi ni mazuri sana ila hayapunguzi mtu haraka kama chakula hasa wanga na sukari.
Niliwahi msimamia mtu katika kupunguza mwili.yan nkawa nafanya jukumu la kumpangia na kumwandalia vyakula vya vyakula kuanzia kifungua kinywa mpaka chakula cha usiku. Ndan ya mwezi mmoja kilamtu anamwambie sasa umepungua naumependeza.
Kupungua mwili ukiamua ni rahisi ila ikiwa kama unajilazimisha utaona tabu
Naachaje kula ugali mimi😭😭😭acha kula wanga kabisa na sukari kwa mwezi mzima mazoei kidogo tu sio yale ya kujichoshaaa, utanishukuru baadae.
mimi nilianza rasmi diet may 2021. kufikia October nikapungua 15kg. nipo na maintain nao. nilikuwa 104kg sasa 89kg. niataanza tena baadae.target 80kg
kula proten za wanyama kula mpaka ushibe(nyama aina zote mradi inaliwa na binadamu)
nuts za kwenye miti (korosho etc)
mayai
samaki kula mpaka ushibe
mboga za majani zinazoota juu(cabbage, mchicha, spinachi na nyinginezo) kula mpaka ushibe
boga
matunda ni parachichi na tango tu. usile yale yenye sukari sijui Maembe mananasi,
kunywa maji
mazoezi kidogo uwe fit please consistency ni muhimu
nakutakia mema
Hapo pa kuacha sukari, inamaana hata chai hutakiwi kunywa, au inakuaje mkuuPole sana ila bora umewai kabla haujanenepa kupitiliza.
Kwenye swala la chakula
1. acha vitu vya sukari na matumizi ya sukari kabisa
Soft drinks achana nazo, beer, juice za viwandani nk
2.Acha kula wali, ikitokea umekula wali basi kheri ule mchana na sio usiku. Kama unapenda wali basi kula brown rice
3. Acha kula vitu vya kukaanga, chemsha au choma
4. Jitahidi ule masaa mawili kabla ya kulala.
5.Kunywa maji ya kutosha.
Kwenye swala la mazoezi mwezi kabla ya kuanza gym
1.Kabla ya kuanza gym, anza kwa kutembea angalau nusu saa kila siku
2. Ruka kamba at least dakika 15 kila siku
Hii itakusaidia hata ukiwa teari kwenda gym mwili unakuwa mwepesi kidogo, na mwili unakuwa ushazoea mazoezi kwaio uta enjoy.
Faida za kwenda gym
1. Kutoa pesa inauma, ukitoa pesa yako itakua inakuuma kukosa kwenda mazoezi, kwaio kile kitendo cha kuwa na uchungu kitakusaidia usi miss mazoezi na mwishowe utaona mabadiliko
2. Gym kuna watu wengi, yani uwezi fika wenzio wote wapo busy na mazoezi wewe una chat au umelala, kwaio utaona aibu
3. Competition, utakutana na watu wanaopambana kama wewe kupungua kwaio utajikuta unataka u compete nao na hivyo utaongeza jitihada
4. Inspiration, wana gym wataku inspire ufikie lengo lako
NB: Kuona mabadiliko binafsi inachukua mpaka week 3, utaanza kujiona umekuwa mwepesi, kuna nguo zilikua hazikutoshi zinaanza kukuenea, mashavu kupungua nk
Inachukua miezi 3 watu wengine kukuona kuwa umepungua, hivyo usikate tamaa ukiona kama watu hawakusifiii
kula dona, ugali wa muhogoNaachaje kula ugali mimi😭😭😭
Nadhani issue ni kula kwa kiasi. Hata dona ukizidisha utanenepa. I hate donakula dona, ugali wa muhogo
yeah, na kufanya mazoeziNadhani issue ni kula kwa kiasi. Hata dona ukizidisha utanenepa. I hate dona
Ni kweli. Mazoezi nayo wito😀😀...nikifanya leo inapita wiki sijafanya, haileti matokeo mazuriyeah, na kufanya mazoezi
jiwekee zawadi, tafuta kitu ambacho unakipenda alafu jiahidi kujizawadia ukikamalisha kitu ambacho ni kigumu kwako kukifanya.Ni kweli. Mazoezi nayo wito😀😀...nikifanya leo inapita wiki sijafanya, haileti matokeo mazuri
Kama ninachokitaka kipo nje ya uwezo wangu inakuaje? Labda mtu aniahidi zawadijiwekee zawadi, tafuta kitu ambacho unakipenda alafu jiahidi kujizawadia ukikamalisha kitu ambacho ni kigumu kwako kukifanya.
hahaha weka malengo halisiaKama ninachokitaka kipo nje ya uwezo wangu inakuaje? Labda mtu aniahidi zawadi