Kuna wanaorogwa kweli ila wengine wanajirogeshajambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza, tunarogwa sana mimi ofisini kuna mtoto wa watu ananiwinda sana licha ya kumchana live kuwa nna mke lakin naona aniletea hadi chakula
Hapana. Ukinitendea mema tutazikana ndio ila ukinivuruga tusijuane kabisa.si mliimba huyo ni chaguo lako wa kufa na kuzikana
Basi mi nalitaka hili lishangazi kabla sijafulia.Mkifulia mnarudi kwetu mashangazi
Si unaona sasa akili zenu yani mwanamke ahangaike kusugua goti miaka yote hiyo, huku wewe ukila starehe zako kwa kisingizio kuwa umerogwa halafu uje urudi uzeeni ukiwa ushajichokea yeye ndio ahangaike na wewe, haki kuzaliwa mwanamke africa ni laana tosha maana wanaume wao ni mizigondio kurogwa kwenyewe kwahiyo muongeze maombi ukifika mda wa kustaafu mbona huwa tunajirudi
Upo na namba zao hapo 😉 unisaidieukiwa unaitafuta furaha uzidishe na maombi kuna wenzenu wana ndumba kali sana
Shangazi is not shangaziring😆😆😆😆Basi mi nalitaka hili lishangazi kabla sijafulia.
sema mimi ntawahi kurudi kabla ya kustaafu ila kwa msaada wa maombi yako. Tatizo lenu huwa mnazinguaga sana mkishawekwa ndaniYaan unajirudi baada ya kustaafu ukute na pesa zote ulikula na vimada. Kwangu hamna nafasi kwa mwanaume wa aina hiyo arudi huko huko alikokua anapiga starehe.
Sijamaanisha wana ukamilifu! Wengi wanakua bado hajawakubuhu kwenye industry ya kufakamiwa ukiwa mjanja unaweza kuotea humo japo ni probability!kwahiyo vibinti vya form 6 ndo vimekamilika??
nini linakufanya useme hivyo
zanini sasa wewe dili na wachungaji wa kilokole kesheni pigeni maombi sanaUpo na namba zao hapo 😉 unisaidie
Vingine sio vya kumuachia Mungu ujuezanini sasa wewe dili na wachungaji wa kilokole kesheni pigeni maombi sana
Bado wapo mkuu. Trust menashindwa kuamini mwanamke wa hivi yupo
Hapa tunazungumzia mwanamke aliekaa na mwanaume wake vzuri. Hivi mwanamke aliekaa na ww wakati upo juu ya mawe aje kukuzingua ukiwa na pesa? Mwanamke wa wapi huyu?sema mimi ntawahi kurudi kabla ya kustaafu ila kwa msaada wa maombi yako. Tatizo lenu huwa mnazinguaga sana mkishawekwa ndani
nimekosa hadi cha kusema ila kuvaa viatu vyetu vitawapwaya kama sio kuwabana na mtavivua.Si unaona sasa akili zenu yani mwanamke ahangaike kusugua goti miaka yote hiyo, huku wewe ukila starehe zako kwa kisingizio kuwa umerogwa halafu uje urudi uzeeni ukiwa ushajichokea yeye ndio ahangaike na wewe, haki kuzaliwa mwanamke africa ni laana tosha maana wanaume wao ni mizigo
Sent using Jamii Forums mobile app
wapo wa hivyo wengi tu huwa hamueleweki ndio maana tuliambiwa tuishi nanyi kwa akiliHapa tunazungumzia mwanamke aliekaa na mwanaume wake vzuri. Hivi mwanamke aliekaa na ww wakati upo juu ya mawe aje kukuzingua ukiwa na pesa? Mwanamke wa wapi huyu?
Sawa ndio uendelee kukataa hivyo hivyo maana uwezo wa kukataa unaojambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza, tunarogwa sana mimi ofisini kuna mtoto wa watu ananiwinda sana licha ya kumchana live kuwa nna mke lakin naona aniletea hadi chakula
watakaoumia ni watoto mama tulee hawa watoto tuliobarikiwaHapana. Ukinitendea mema tutazikana ndio ila ukinivuruga tusijuane kabisa.
Kwann umeamua kumtumia huyo kuwapa marks wote? Sikatai kwamba wahuni wapo hata binafsi kipindi nasoma Kuna demu alibakwa na watu tisa ila siku ya pili aliwahi namba ya 12:45😁 lkn haibadili maana kwamba wazuri bado wapo!Ni hawa watoto wanaotoroshwa na baba jose au Kuna wengine???
inaonekana dawa yake ni kali sana naelekea mwishoniSawa ndio uendelee kukataa hivyo hivyo maana uwezo wa kukataa unao
Sent using Jamii Forums mobile app
mnataka mpambane man to man sioVingine sio vya kumuachia Mungu ujue