Asante mkuu, tunapambana tujiajiri bana.Itapatikana tu mkuu usijali, ngoja wajuzi waje.
Tatizo la laptop mkuu unaweza ukatajiwa thinkpad fulani halafu ukaenda kushikishwa version ya celeron itakuwa hatujakusaidia chochote. Jifunze kuangalia specs, kuclick my computer na kwenda properties si kazi kabisa. Laptop aina moja inaweza kuja na configurations tofauti tofauti hata 16Habari wana JF,
Naombeni ushauri nataka kununua laptop kwa ajili ya graphic designing.
Je ninunue laptop ipi?
Naomba ushauri wa brand na aina. Mkifanya description kubwa mtanichanganya.
Mfano ukisema lenovo thinkpad T350, inakuwa rahisi kwa mimi kwenda madukani na kuitafuta.
Bajeti yangu ni million 1 na nahitaji mpya.
Nb: Mimi sio mtu wa IT so lugha za kitaalam zitanichanganya.
Cc Chief-Mkwawa Moe Szyslak leloic kcamp Mjomba Fujo troublemaker Freak ISO M.CodD na wengine
Ssd na hdd tofauti ipo wapi wakuu?Tatizo la laptop mkuu unaweza ukatajiwa thinkpad fulani halafu ukaenda kushikishwa version ya celeron itakuwa hatujakusaidia chochote. Jifunze kuangalia specs, kuclick my computer na kwenda properties si kazi kabisa. Laptop aina moja inaweza kuja na configurations tofauti tofauti hata 16
Kama unafanya graphic design bila video editing na unataka laptop mpya nakushauri nunua i3 gen ya 10 ice lake.
Zipo i3 tatu
i3 1000G4
i3 1000G1
i3 1005G1.
Hizi kidogo zina graphics nzuri hasa hio inayoishiwa na G4.
Upatikanaji wake pia ni mrahisi.
Dell inspiron 14 3000 (3493) 10th Generation Intel(R) Core(TM) i3-1005G1 Dar Es Salaam
Dell Inspiron 3593 Core i3 10th Gen | Kariakoo | Jumia
Hizo inspiron naona zipo nyingi tu online maduka tofauti tofauti.
Unaweza nunua kwa hio 950k kisha change inayobakia upgrade ram kwenda 8gb.
Baadae tena badili hdd eka ssd.
Ssd storage zipo faster. Kuanzia kufungua applications, ku washa laptop na ku transfer files. Ukiwa HDD na una applications nyingi kwenye laptop mara nyingi kuanzia unapoona logo ya windows mpk unafika desktop ni kma dkk 1 hadi 5 hvi mpka icon zote zitokee kwenye taskbar. Ila ukiwa na SSD ukiona windows logo mpk kufika kwenye desktop ni 10 seconds mpk 30 seconds ikizid sana dkk 1. Na hapo ukifika kwenye desktop tu unaweza tayari kufungua apps zako ukaendelea kazi bila kusubiri vitu vyote vi load.Ssd na hdd tofauti ipo wapi wakuu?
Kwenye usafirishaji data.Ssd na hdd tofauti ipo wapi wakuu?
Nimekusoma mkuu unajua sisi watu ambao sio wazuri kwenye IT ukitaja specifics nyingi tunachanganyikiwa.Mi natoa hints tu chache.
Kwa graphics designing huitaji mashine yenye specs za kutisha sana.
Graphics designers wakubwa wana invest pesa nyingi kwenye display, kwasababu unacho design kama kitahusu printouts lazima color zifanane, kwenye monitor unaweza kuona red inanga'aa unakuja kuprint color zina change.
Kwa hivo laptop tafuta 17" ips panel decent gpu and cpu itakufaa sio lazima i7 unaeza opt i5 newer generations.
Umesema hutaki details nyingi, bila details huwezi pata unachokitaka. Maana laptop zinakuja na configuration tofauti inaweza ikawa lenovo T350 ila zikaja configuration tofauti tofauti.
Sawa Chief asante kwa ushauri, ila i3 si inakuwa na nafasi ndogo?Tatizo la laptop mkuu unaweza ukatajiwa thinkpad fulani halafu ukaenda kushikishwa version ya celeron itakuwa hatujakusaidia chochote. Jifunze kuangalia specs, kuclick my computer na kwenda properties si kazi kabisa. Laptop aina moja inaweza kuja na configurations tofauti tofauti hata 16
Kama unafanya graphic design bila video editing na unataka laptop mpya nakushauri nunua i3 gen ya 10 ice lake.
Zipo i3 tatu
i3 1000G4
i3 1000G1
i3 1005G1.
Hizi kidogo zina graphics nzuri hasa hio inayoishiwa na G4.
Upatikanaji wake pia ni mrahisi.
Dell inspiron 14 3000 (3493) 10th Generation Intel(R) Core(TM) i3-1005G1 Dar Es Salaam
Dell Inspiron 3593 Core i3 10th Gen | Kariakoo | Jumia
Hizo inspiron naona zipo nyingi tu online maduka tofauti tofauti.
Unaweza nunua kwa hio 950k kisha change inayobakia upgrade ram kwenda 8gb.
Baadae tena badili hdd eka ssd.
I3 gen ya 10 ni bora kuliko i7 gen ya i7 upande wa cpu na gpu.Sawa Chief asante kwa ushauri, ila i3 si inakuwa na nafasi ndogo?
Ice lake ni brand au ni specification?
Mfano una recommend ninunue ipi?Gaming Laptop itakata kiu yako.
Mfano una recommend ninunue ipi?
ThanksHata hiyo aliyoku-recommend Chief Mkwawa hapo juu .
Akipata Ram 16 ingekuwa sawa Sana shida iko kwenye hiyo processor. NdogoTatizo la laptop mkuu unaweza ukatajiwa thinkpad fulani halafu ukaenda kushikishwa version ya celeron itakuwa hatujakusaidia chochote. Jifunze kuangalia specs, kuclick my computer na kwenda properties si kazi kabisa. Laptop aina moja inaweza kuja na configurations tofauti tofauti hata 16
Kama unafanya graphic design bila video editing na unataka laptop mpya nakushauri nunua i3 gen ya 10 ice lake.
Zipo i3 tatu
i3 1000G4
i3 1000G1
i3 1005G1.
Hizi kidogo zina graphics nzuri hasa hio inayoishiwa na G4.
Upatikanaji wake pia ni mrahisi.
Dell inspiron 14 3000 (3493) 10th Generation Intel(R) Core(TM) i3-1005G1 Dar Es Salaam
Dell Inspiron 3593 Core i3 10th Gen | Kariakoo | Jumia
Hizo inspiron naona zipo nyingi tu online maduka tofauti tofauti.
Unaweza nunua kwa hio 950k kisha change inayobakia upgrade ram kwenda 8gb.
Baadae tena badili hdd eka ssd.
Naona sasa umeanza kujikita kwenye kujifunza specs. Huwezi epuka hili swala. Ukishaingia kwenye tech world lazima uwe into details na ujifunze mambo ya specsSawa Chief asante kwa ushauri, ila i3 si inakuwa na nafasi ndogo?
Ice lake ni brand au ni specification?