Ushauri wa kuoa unahitajika.

Ushauri wa kuoa unahitajika.

Aache woga. Tuliopo mjini wengi tumetokea kijijini. Si kila anayetoka kijijini anakuwa limbukeni wa maisha. Ns si wote wa mjini wapo kama kina Gigi. Nina swali. Wanaume huwa hawaoi wanaowapenda? Au anayehitajika ni mwenye sifa za kuwa mlinzi wa nyumba?
Anaolewa mwanamke atakae unganisha familia sio anae vutia.

Wanaovutia wapo tu barabarani ni viburudisho
 
Kama ana nia ya kuoa, yeye aoe tuu... ushauri hautamsaidia... anayeeenda kuishi na huyo mwanamke ni yeye na wala siyo watoa ushauri...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom