Korea version ni balaa. Ni mara chache sana unazikuta za kubabaisha. Ila asilimia kubwa zimenyooka.Sumbufu sana KOREA VERSION
upande wa software ukitumia OFFICIAL
sms maneno machache
deriver report hakuna
kutuma sms inasumbua
mtandao kama tigo unasumbua data
ikiwa 3G kutuma sms haitaki
ninazikubari kwa uimara na kupokea update kuanzia Display ngumu sana GORILLA ndo udiseme na simu yenyewe mashine jiwe haswa
Haiwezi kuwa Korean version bila kuwa refurbished. Na refurbished siku zote ni kubeti. Kuna Mitandao korea ikija hapa hata ussd haina Unaanza kuhangaika na apps kuunga Bando.Korea version ni balaa. Ni mara chache sana unazikuta za kubabaisha. Ila asilimia kubwa zimenyooka.
Shukrani mkuuChukua Note 10 plus From South Korea. Zipo very good na sio refubrished.
Achatu nichukue note 10 plus niagize njePia unaweza kupata S-series nzuri
Mfano S 10plus 5g From South Korea pia.
Mbona mimi natumia na kuuza Samsung za kutoka korea. Sio refub na hazisumbui kwa chochote..Haiwezi kuwa Korean version bila kuwa refurbished. Na refurbished siku zote ni kubeti. Kuna Mitandao korea ikija hapa hata ussd haina Unaanza kuhangaika na apps kuunga Bando.
Pia inaweza ikawa na matatizo kama Refurb nyengine, Battery, overheat, locked Bootloader etc
Kwamba mitandao ya Korea inauza simu Tanzania?Mbona mimi natumia na kuuza Samsung za kutoka korea. Sio refub na hazisumbui kwa chochote..
Kwamba mitandao ya Korea inauza simu Tanzania?
Nchi za wenzetu ambazo zimeendelea Simu zinauzwa na mitandao ya simu kwa mikataba, zinakuwa locked kwa mtandao husika.
Wateja wanapofanya Trade in, ama simu zikiharibika wakirudisha unapata hizo refurbished ambazo zinauzwa. Then ndio zinakuja huku.
Huwezi kugusa Simu mpya ya Korea ikija hapa, maana inakuwa sio official. Simu ya laki 5 itauzwa milioni 1.
Ni kweliSumbufu sana KOREA VERSION
upande wa software ukitumia OFFICIAL
sms maneno machache
deriver report hakuna
kutuma sms inasumbua
mtandao kama tigo unasumbua data
ikiwa 3G kutuma sms haitaki
ninazikubari kwa uimara na kupokea update kuanzia Display ngumu sana GORILLA ndo udiseme na simu yenyewe mashine jiwe haswa
Kuhusu mtandao wa tigo ni kweli kuna sehem ukienda kama kuna 3G simu inagoma kabisa,mimi pia simu yangu inanizingua hapo,ila laini nyingine zinakubali.Hizi ni minor things ukilinganisha na ubora na faida za simu kutoka huko.
Maana kama issue ya message unaweza tumia google message ukasolve tatizo la maneno machache na delivery report.
Kuhusu mtandao wa Tigo sijawahi kutana na hii shida so siwezi fahamu vizuri.
Mimi pia changamoto ipo kwenye Samsung yangu ..upande wa Tigo line haisome hata 3g ingawa simu ni 4g,hata SMS sometimes zinakuwa shida kutuma ila laini nyengine zinafanya kazi vizuriKuhusu mtandao wa tigo ni kweli kuna sehem ukienda kama kuna 3G simu inagoma kabisa,mimi pia simu yangu inanizingua hapo,ila laini nyingine zinakubali.
chukua refurb hapa hapa bongo ni nzuri utapewa na 6 month warranty ya kucheck kama inatatizo bei inasimama 750k....pia kama S series ningekushaul uchukue S10 5G ndo nayotukia ipo vizuri sana
sasa ukiambiw upelek mitandao na tigo utaupelekaMimi pia changamoto ipo kwenye Samsung yangu ..upande wa Tigo line haisome hata 3g ingawa simu ni 4g,hata SMS sometimes zinakuwa shida kutuma ila laini nyengine zinafanya kazi vizuri
Niuzzie Mimi mkuuNmeshaichoka hii A21s nahitaji kubadiri nmeitumia ndani miezi mitatu naona sjaipenda
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Nipe bei yako kama uko serious n PMNiuzzie Mimi mkuu
Hyo Refurb s wanasema zinazingua cuz nmeona amazon kuiagiza sio pesa mingi sanachukua refurb hapa hapa bongo ni nzuri utapewa na 6 month warranty ya kucheck kama inatatizo bei inasimama 750k....pia kama S series ningekushaul uchukue S10 5G ndo nayotukia ipo vizuri sana
Kabisaa mzee hiyo ela n kiwanja lakin watu tunatofautianaKuna watakumbia 1M ni bei ya kiwanja.
Voda Ni Genuine sababu ni 1st party yeye ndio ameanza.Oh! Kwahiyo mkuu hawa akina vodashop na wenyewe simu wanazotuuzia au zile tunapatiwa Kwa kuwa na mikataba nao na zenyewe ni refub? Shukran
Kama ni Amazon ukinunua make sure kitu kinauzwa na Amazon ama kinatoka kwa manufacture mwenyewe. Hii itakusaidia kuepuka stress.Hyo Refurb s wanasema zinazingua cuz nmeona amazon kuiagiza sio pesa mingi sana
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app