Bajeti yangu n kuanzia 900K - 1M mkuuKila mwaka inatoka series moja tu ya Note, na siku hizi hazitoki tena.
Hivyo inategemea na Budget yako.
umetenga kiasi gani?Naomba ushauri wa simu ya Samsung ya kununua series ya note ipi nzuri na bei yake
Chief-Mkwawa msaada wako
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hii ni Budget ya Note 10 plus mkuu.
hivi njia gani nzuri ya kujua refub ya samsung.Hii ni Budget ya Note 10 plus mkuu.
So unanishauli nichukue note 10 plus vipi haina tatzo lolote and vipi camera yakeHii ni Budget ya Note 10 plus mkuu.
A21s ni lowend smartphone. Kuna utofauti mkubwa baina yake na Note 10.Nmeshaichoka hii A21s nahitaji kubadiri nmeitumia ndani miezi mitatu naona sjaipenda
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Flagship zote za Samsung camera ni nzuri, pia inakaa na charge na storage utapata ya kutosha GB 256.So unanishauli nichukue note 10 plus vipi haina tatzo lolote and vipi camera yake
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kuna watakumbia 1M ni bei ya kiwanja.
Kabisa mkuu hii A21s nlijichanganyaA21s ni lowend smartphone. Kuna utofauti mkubwa baina yake na Note 10.
Sema changamoto kubwa ni kuipata hio Note 10 plus, Maana Nyingi mtaani ni refurbished na zinaweza kukusumbua mbele ya safari.
Kama unaweza agizisishia online, kama unanunua hapa awe ni mtu unaemuamini.
Pia nikusikiliza ushauri wao mkuu, kila mtu na anavowazaKuna watakumbia 1M ni bei ya kiwanja.
Niuzie hiyo A21s .Kabisa mkuu hii A21s nlijichanganya
Ngoja niagize nijarbu kuagiza nje
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Chukua Note 10 plus From South Korea. Zipo very good na sio refubrished.Naomba ushauri wa simu ya Samsung ya kununua series ya note ipi nzuri na bei yake
Chief-Mkwawa msaada wako
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Sumbufu sana KOREA VERSIONChukua Note 10 plus From South Korea. Zipo very good na sio refubrished.
Hizi ni minor things ukilinganisha na ubora na faida za simu kutoka huko.Sumbufu sana KOREA VERSION
upande wa software ukitumia OFFICIAL
sms maneno machache
deriver report hakuna
kutuma sms inasumbua
mtandao kama tigo unasumbua data
ikiwa 3G kutuma sms haitaki
ninazikubari kwa uimara na kupokea update kuanzia Display ngumu sana GORILLA ndo udiseme na simu yenyewe mashine jiwe haswa